Wazungu wanawalaumu Jews kwa ugaidi unaoendelea kwa sasa.

Status
Not open for further replies.

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
2,149
1,710
Jana usiku kama kawaida yangu nilikuwa kwenye kijiwe changu mtandaoni cha kucheza CHESS maana mi ni mdau mkubwa wa mchezo huo. Sasa huwa napochoka kucheza nakuwa naangalia online game zinazoendelea, kwenye hizo online game kunakuwa pia na mashabiki kama mimi ambao kuna sehemu ya comment wanakuwa kama wana share na wote tunaweza kuziona.

Sasa kiroja kilichokuwepo pale ilikuwa sio conversations ya mchezo unaoendelea bali walikuwa haswa wanazungumzia haya mashambulizi yaliyotokea Paris. Watu walikuwa wakitoa maoni yao wengine wakiongolea issue ya udini (christianity & muslims) kwamba ndio source of all these terror, wengine walienda mbali kujaribu ku predict WWIII kwa sababu it seems kwa yanayotokea duniani kwa sasa inaonesha balance of power imepotea kabisa na the only to get it back ni another war possibly could be WWIII.

Ila pia issue ambayo waliizungumzia na wengi waliisupport ni issue kwamba Jews yaani wayahudi kwamba ndio source ya hili kundi la kigaidi la ISIS. Kwa conversation iliyoendelea it seemed almost 80% ya wale member walikuwa wanalaumu sana Jews. Kuna member mmoja alieleza kwamba Jews ndio walioratibu kuunda kundi la ISIS ambalo linaegemea zaidi waislam wa upande wa Sunni. Kwa kutumia historical hatred iliyokuwepo kati ya SUNNIS na SHIA.

Ikumbukwe kwamba adui mkubwa wa Jews kwa sasa ni nchi ya Iran ambayo ina asilimia kubwa ya waislam wa Kishia ambao kila siku ndoto yao ni ku i wipe off israel kwenye ramani. Na ikikumbukwa pia ni nchi ya Syria ambayo pia ilikuwa chini ya uongozi wa Kishia wa familia ya Assad kwa miongo kadhaa vilikua viki pose great danger kwa utawala wa wazayuni wa Jerusalem. Na ikumbukwe pia ni kikundi cha KISHIA cha Hezbollah ambacho kimekuwa kikiishambulia Israel na kuweka vitisho vya kila mara.

Sasa walichokifanya Israel na mkewe US. Nasema US ni mke wa Israel maana ni Israel ndio ina rule america kwa sasa kama ulikuwa hufaham. Wali design kwa akili kubwa namna ya kutumia huu mgawanyiko wa SHIA na SUNNI ili kudhidhohofisha tawala za WASHIA zenye nguvu ambazo zina pose hatari kubwa kwa Israel.

Walichokifanya ni kutengeneza kikundi cha SUNNI wakawapa mafunzo ya hali ya juu, silaha na kila aina ya support mpaka intel. Na walichokitengeneza ndilo kundi hatari la ISIS. Na utaona kama unaweza ku connect dot vizuri kundi hili lilianza harakati zake kwa kuutetemesha utawala wa KISHIA wa IRAQ na mpaka sasa wanashikilia maeneo muhimu. Kundi hili limeingia Syria na linapigana bega kwa bega na vikundi vya ki SUNNI kama Al Qaida ili kuuangusha utawala wa Bashar Al Assad. Na unaweza kuona tangu ISIS waanze harakati zake SYRIA kikundi cha Hezbollah kimekuwa hakisikiki tena maana sasa kina play defensive dhidi ya possible attacks za ISIS. Utasikia pia ISIS wliwatifua kipindi fulani Hamas kule Gaza na hii inazidi kukuonesha ISIS ni watu wa namna gani.

Kwa namna moja ama nyingine so far wayahudi wamefanikiwa kwenye hili kwa maana wameweza simply kutumia tofauti ya USUNNI na USHIA kuzima hatari katika taifa lao.

Baada ya kutafiti kidogo ndipo sasa nikapata clue kwamba lile tukio la juzi kati la Kuangushwa ndege ya abiria ya Urusi na Tukio la juzi la Paris ni dhahiri yameratibiwa na wayahudi kwa picha ya ISIS. Kwanini nasema hivo.

1) Mwezi wa kumi Urusi alianza kwa kasi kuitandika ISIS baada ya kuona utawala wa Assad ulikuwa karibu kuanguka. Na ni kweli katika kipindi hicho ISIS walichezea kichapo kweli. Sasa inawezekana kabisa shambulizi la kutunguliwa ndege ya Russia ambayo ilikuwa inapita kwenye anga la Egypt (ikumbukwe Egypt nayo ipo utawala wa SUNNI) iwe kama ni warning kwa Russia kuendelea na mashambulizi yake. Nasema kabisa shambulizi lile limeratibiwa na Jews, US, Al qaida na ISIS.

2) Ikumbukwe pia Ufaransa naye ali intensify mashambulizi ya ndege dhidi ya ISIS na inawezekana huenda alikuwa anawadhoofisha kwa namna moja au nyingine kwa hiyo njia pekee ilikuwa ni kuwapa shambulizi kali ambalo lita rise public voice za wafaransa ili kuishinikiza nchi yao iachane kabisa na mpango wa kupambana na ISIS.

Kwa kumalizia ni kwamba inavoonyesha kwa series of events ambazo zimetokea kuanzia kuundwa kwa taifa la wazayuni mwaka 1948 ni kweli kwamba Jews ni source of all problems kwa sasa and i concur with friends opinions about jews. Hawa watu ni hatari na missions wanazozifanya kwa sasa ndio zitakuwa main sources ya WWIII.

Nawaza tu kwamba kama wakimuangusha Bashar watakuwa wamebakiwa na mission moja tu ya Iran. Ambayo kwa mtu aliyesoma Times magazine la october tayari wameshaanza kuchuria jinsi gani Iran itavoanza kushambuliwa na kuangamizwa.

Embu tusubiri tuone itakuwaje.
 
Porojo tu....Nchi pekee ya ulaya yenye jews wengi ni Ufaransa sasa unaposema kikundi kilichoundwa na Israel kikawashambulie jews huko ufaransa basi unaonekana wewe na kijiwe chako cha chess ni wachochezi tu.
 
Soma uelewe wewe Jingalao ni wapi nimesema jews wa ufaransa wameshambuliwa? Acha ku act ujinga mkuu soma kitu kwa umakini uelewe na kama una kataa una pinga kwa fact. Tumeelewana nadhani
 
Tatizo kubwa linalosababisha 'UGAIDI' duniani is "The Quran".Laiti kama ingetokea duniani hiki kitu kikafutika,binadamu wangeishi kwa amani.Huu ndio UKWELI,Zingine POROJO Tu
 
Soma uelewe wewe Jingalao ni wapi nimesema jews wa ufaransa wameshambuliwa? Acha ku act ujinga mkuu soma kitu kwa umakini uelewe na kama una kataa una pinga kwa fact. Tumeelewana nadhani

Sasa nimetambua kuwa uelewa wako kwenye jambo hili ni mfupi sana ...

Unaujua vizuri uhusiano wa israel na france?
 
Naona ukweli flani kwenye hii thread.Wenye uwezo mkubwa wa kuunganisha matukio jazilizieni tafadhari.
 
Tatizo kubwa linalosababisha 'UGAIDI' duniani is "The Quran".Laiti kama ingetokea duniani hiki kitu kikafutika,binadamu wangeishi kwa amani.Huu ndio UKWELI,Zingine POROJO Tu
Mkuu mimi sio Muislam ila inawezekana kabisa kuna watu wenye akili ambao sio waislam wanatumia hii Agenda ya Quran kufanya Ugaidi kwa mwavuli wa Quran na ndicho kinachotokea sasa. Hao ISIL wameua watu kama 150 Paris lakini wameshaua maelfu ya waislam wenzao ambao nao wana Quran. Kwa hiyo sikubaliani na wewe kwamba Quran ndio tatizo. We hujiulizi kwanini machafuko yatokee zile nchi ambazo zinampinga Israel?
 
Sasa nimetambua kuwa uelewa wako kwenye jambo hili ni mfupi sana ...

Unaujua vizuri uhusiano wa israel na france?
Halafu we ni mjinga kama ID yako ilivo. Unaniuliza mimi swali badala ya kutoa maelezo wewe. Ila sikulaumu sana haya mambo huwezi kuyaelewa mtu mwenye akili fupi kama wewe. Unyamaze tu maana huna haki ya kujibiwa subiri wajuvi wa mambo watakuelewesha. wewe kaa kimya kwa sasa.
 
Mkuu mimi sio Muislam ila inawezekana kabisa kuna watu wenye akili ambao sio waislam wanatumia hii Agenda ya Quran kufanya Ugaidi kwa mwavuli wa Quran na ndicho kinachotokea sasa. Hao ISIL wameua watu kama 150 Paris lakini wameshaua maelfu ya waislam wenzao ambao nao wana Quran. Kwa hiyo sikubaliani na wewe kwamba Quran ndio tatizo. We hujiulizi kwanini machafuko yatokee zile nchi ambazo zinampinga Israel?

Take 5!!
 
Terrorism is a global problem...The War against Terror itself, qualifies to be "World War III"
 
Hayo maelezo yake yangekuwa na "Mantiki" kama "Facts" zifuatazo zisingekuwepo:Maandiko yanahamasisha Chuki kali dhidi ya Wayahudi na binadamu wasio waislam na Ushabiki wa waislam dhidi ya haya makundi ya kigaidi mashariki ya kati kwa dhana ya kulipa kisasi(kimeruhusiwa ndani ya quran).Hebu fikiria kuna dini ngapi hapa duniani na kwanini hawa wamekuwa ni tatizo kubwa mno duniani haijalishi wanaishi wao tu au na dini nyingine ni majanga matupu.Mfano:Somalia wanaongea Lugha moja na ni dini moja=Sasa kwanini HAKUKALIKI???
 
Terrorism is a global problem...The War against Terror itself, qualifies to be "World War III"
And the great problem is "The war against Terrorism is the war against Islam.Islam and Terrorism are inseparable.
 
Soma uelewe wewe Jingalao ni wapi nimesema jews wa ufaransa wameshambuliwa? Acha ku act ujinga mkuu soma kitu kwa umakini uelewe na kama una kataa una pinga kwa fact. Tumeelewana nadhani

Ata wewe hukufanya research vizuri...ivi ni mara la kwanza kwa magaid kudungua ndege?....unakumbuka shambuli la lokarby?...je lile liliratibiwa na jews pia?....vip ile ya entebe,ukrain na mengine mengi?...hayo yote ilikuwa msaada wa nani?....huwez tu kufanya clue simply kiivo kama ni ishue ya ndogo sana...Hii ishue sio kuwalaum jews tu pasipo ushahid logical,...hii ishue ni complex sana mkuu
 
Geo politics wewe huzifaham mkuu bora kukaa kimya tu. Utafananisha vipi shambulizi la Lokarby na la kutunguliwa ndege wiki iliyopita? haya kuyaelewa inahitaji utafiti wa hali ya juu sana na silazimishi kukubali.
 
Point yangu ya msingi hukuigusa..nlita kukuonyesha kwamba ugaidi wa kudungua ndege haujaanza leo...Sasa ndo nataka unambie,hayo mengine yalikuwa kwa hisani ya nani?..jews pia? If not why ume stik kweny hili moja tuu la juz egypt?...ku draw conclusion kwamb ni wayahudi?...
Swala sio mimi kujua au kutojua the so called Geo politics,swala ni ulichoandika kina sound kiasi gan kwa watu wenye free reasoning..haya mambo ukiweka vihisia nya kimirengo hutoweza kujua ukwel..badal yake utalaum tuu kund flani,kma unavyofany
 
Ata wewe hukufanya research vizuri...ivi ni mara la kwanza kwa magaid kudungua ndege?....unakumbuka shambuli la lokarby?...je lile liliratibiwa na jews pia?....vip ile ya entebe,ukrain na mengine mengi?...hayo yote ilikuwa msaada wa nani?....huwez tu kufanya clue simply kiivo kama ni ishue ya ndogo sana...Hii ishue sio kuwalaum jews tu pasipo ushahid logical,...hii ishue ni complex sana mkuu

Ndio maana nasisitiza kuwa mleta thread akaendelee na kahawa kwenye kijiwe chake cha chess...kwanza sijawahi ona mcheza chess mwenye mawazo na ujuzi mfupi kama huyu.
 
Soma uelewe wewe Jingalao ni wapi nimesema jews wa ufaransa wameshambuliwa? Acha ku act ujinga mkuu soma kitu kwa umakini uelewe na kama una kataa una pinga kwa fact. Tumeelewana nadhani

Jews wa Ufaransa wanashambuliwa na biashara zao pia. Usiwe zoba ni conspiracy theory mara nyingi ni hoax kwa ajili ya kuwapumbaza wajinga. Sensa zote duniani zinathibitisha wajinga ni wengi kuliko werevu. Ndio maana mwaka huu sikupiga kura kwa sababu nilijua wajinga watashinda kwa sababu ni wengi na wako CCM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom