Wazungu wanavyoitazama Tanzania

Ni ajabu sana, watu wanaona kuchochea vurugu kwa kuzusha uzushi dhidi ya vyama upinzani ni sawa, na wameachwa wakiyafanya haya mambo.

Wanasahau amani ni ya wote na vurugu inabomoa taifa.
Hiyo hawakumbuki ila likishawaka linatukumba woote bila kuchagua rangi za mavazi yetu
 
Kwa hyo ww ulishindwa kuwa critical na ukaona thread haitanoga bila ya kuwataja wadhungu? Kweli walituweza kutuosha vichwa vyetu.
Kama wameweza kuwapatia angalau chanjo ya covid 19 wakati mlisha danganywa kuwa inatibiwa kwa kujifukiza kwa nyungu unawezaje kukosa kuwasifia?
 
kwani SSH hana upeo wa kupambanua mambo? acheni kumsingizia mwingilu peke yake, wapo wengi wanesgauriana
Kama washauri wake ni mpango na mwigulu unategemea nini, mpango yeye anaamini katika kuongeza kodi wamekutana na mwigulu wale wale
 
Eeeeeh na kadi nikaonyeshwa

Kwani!?

IMG_0758.jpg

pole zangu ziende lumumba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom