#COVID19 “Wazungu” wanavyoiona Tanzania baada ya kukubali chanjo za Corona

Nilichojifunza kwenye hii post ni kamba,tusioamini Magufuli aliuwawa ni sisi Watanzania ila nchi nyingine zinafahamu Magu aliuliwa hasa baada ya kuwabana wazungu na chanjo yao.
 
Ninachoona Tanzania inakataa chanjo kitaalamu sana kwa tahadhari
1. Mzigo umekubaliwa kuingia nchini
2. Kupata chanjo ni hiari (ni wewe na akili yako)
3. Kuna mtu (Gwajima) mwenye watu yupo mstari wa mbele kuipinga chanjo (ku manipulate akili za watanzania ili na wao wawaze na kufikiri mbali kuhusu chanjo)
Yule sidhani kama anaongea akiwa hana ufahamu, na wakubwa zake wasimkataze
Bilashka hta mama hajachoma yenyewe
 
Mkuu nitumie iyo link ya video PM tahadhari
Kuna vid moja inatembea tembea huko mitandaoni ninahofia kuiweka hapa, inawataja viongozi watano wa nchi za kiafrica waliouawa sababu ya kuikataa chanjo akiwemo mzee wetu
 
Back
Top Bottom