mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,255
- 4,599
Huyo magufuli amekuwa sehemu ya mafisadi kwa miaka zaidi ya 25 na mpaka sasa yeye ni miongoni mwa mafisadi waliopiga hela ndefu zaidi tangia historia ya nchi kuanza.Huo uzalendo kaanza 2015?aliyenunua kivuko kibovu na kukipeleka jeshini ili kisihojiwe sio huyu magu anayewaendesha mapopoma kama nyie msio na hata chembe ya kumbukumbu?Hyo sheria ilitungwa mwaka gani? Hao akina Zitto wako bungeni miaka nenda miaka rudi leo ndo wanaiona baadfa ya Magufuli kudhibiti mianya yao ya kutuibia?
Sent using Jamii Forums mobile app