Wazungu wameweka Film mpya hii hapa mnasemaje kuhus hiyo Film? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazungu wameweka Film mpya hii hapa mnasemaje kuhus hiyo Film?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 18, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tupe script yake kidogo.
   
 3. Root

  Root JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,189
  Likes Received: 12,906
  Trophy Points: 280
  Haya hapa sijui ila Dhaifu lazima ashindwe

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 4. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  The Fantastic Four!!!
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Cover lake zuri.
   
 6. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  MziziMkavu: Mbona kama unapenda kupost pumba sana kwenye threads zako?
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu Miwatamu Kwanini? hii ni Sehemu ya picha za kujifurahisha hii si sehemu ya mambo ya Thread za siasa unasemaje hukupenda picha yangu niliyoweka? Kulikoni? nimekuudhi? wewe ndio unasema maneno yako ya Pumba................
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu Xuma nani kakuvutia hapo??????????????*

  Mkuu Ritz Nani kiboko yao kuliko wote hapo kwenye jukwaa la Siasa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Inafurahisha.
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu Gosbertgoodluck Nani atakuwa ni Sterling na nani atakuwa ni Kubwa la Maaduwi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwa miye mzoefu wa mambo haya, sterling anaonekana waziwazi. Ni M7.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu.@Gosbertgoodluck sio Mheshimiwa JT?
   
 13. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Moi Kibaki amependeza kweli kweli. Hayo maziwa wangempa JK ingefurahisha maana yeye ni beautiful siku zote.
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  mkuu Father of All naona unatafuta kula BAN wewe mimi simo mchanga wapwani huo........... Ma Moderator watakupa kipigo Heavy shauri yako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ban kwa nini iwapo wewe uliyeweka picha yenye Kibaki akiwa na mazito hawakufanyii hivyo? Isitoshe kosa letu au waliotengeza hizo picha? Naamini watanisamehe na wanasoma hapa.
   
 16. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mzizi mgonjwa sio lazima alazwe ndo tujue anaumwa.
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  mkuu philipo kidwanga Asante nitibie basi kama mimi ni Mgonjwa . Mimi ninaweka picha ile iliyonivutia mimi, na kila kinachonifurahisha mimi na watu wengine mimi sipo kwenye chama

  chochote kile duniani chama changu ni dini yangu tu na yule Mungu wangu ninaye muabudu sasa nikiweka picha wewe

  hukuipenda mimi itanihusu kitu gani? kama ni unaona haifai picha niliyoweka wewe itabidi uipuuze hakuna haja ya

  kuiangalia. Leave it Or Break it.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu Father of All mimi nimependa ya hao watu wawili Mheshimiwa na Mzee Kibaki hao waliobakia wanaonyesha ni watemi nchini mwao lakini hawa wawili niliowachaguwa ni wapole ndio ninaowapenda watemi siwapendi kazi ya kutisha kila wakati si unawaona wanavyotoka moto mwilini mwao?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mzizi mkavu maana yangu ilikuwa kukufanya uachane na huyo mtu sema hatukuelewana kidogo,nilimaanisha huyo uliyekuwa unajibishana nae ana tatizo linalofanana na ugonjwa wa kulazimisha wote tufikiri kama yeye.samahani kwa usumbufu wowore tulikuwa pamoja.
   
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu philipo kidwanga Nimekuelewa vizuri kabisa itabidi mkuu matamu anitibie kwa kumuwekea Pumba sijuwi zamahindi au mtama.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...