Wazungu wameshusha kilio cha ajabu JK Nyerere Airport

kamituga

JF-Expert Member
May 31, 2019
1,195
1,919
Wakuu kama mada inavyojieleza hapo juu nisiwachoshe na mambo mengi iko hivi;
Kuna jamaa wako kwa Trump tuna project nao sasa majuzi walikuja kuangalia miradi inaendeleaje Tanzania na Congo.

Ratiba yao ilikuwa waanzie hapa kisha waende DRC basi wakajipanga tukawasiliana kwenda kuwapokea cha ajabu baada ya kufika tu airport na process zote kuisha tunaelekea kwenye gari tuwapeleke hotelini jamaa wanaanza kulia machozi mi nikabaki na sintofahamu nikahisi wameibiwa kuwasikiliza vizur kumbe wanalia kwa furaha ndio ilikuwa mara ya kwanza kuja Afrika.

Tuipende Afrika tuipende Tanzania hao jamaa nao kumbe wanatamani kuja kwetu halafu sisi tunapadharau.
 
Umenifanya nicheke kweli. Unajua kwa nini?. Kule kwao wanaambiwa tunaishi kama wanyama . Sasa wanapofika na kuona uwanja mzuri aliotutengenezea rais wetu kipenzi Mhe Magufuli, Mandege makubwa yetu yako uwanjani, mahoteli mazuri, na mengineyo anayofanya mweshimiwa Magufuli kama ma fly over, wanavyopokewa vizuri, wanaishia kulia tu maana hawakutegemea. Niliwahi kukutana na wazungu kutoka huko huko wakaniambia hawakutegemea kuona bara bara nzuri Afrika.
 
Muwe mnaandika vitu vya maana na ukweli.Siyo unaongozwa na emotions tu halafu unakuja kuandika huku unatetemeka.Sasa hapo tujadili machozi ya hao jamaa zako au ulitaka nini hasa?
Tukujadili wew!!!!
 
Umenifanya nicheke kweli. Unajua kwa nini?. Kule kwao wanaambiwa tunaishi kama wanyama . Sasa wanapofika na kuona uwanja mzuri aliotutengenezea rais wetu kipenzi Mhe Magufuli, Mandege makubwa yetu yako uwanjani, mahoteli mazuri, na mengineyo anayofanya mweshimiwa Magufuli kama ma fly over, wanavyopokewa vizuri, wanaishia kulia tu maana hawakutegemea. Niliwahi kukutana na wazungu kutoka huko huko wakaniambia hawakutegemea kuona bara bara nzuri Afrika.
Huyo mzungu alikua ana kutia kichwa tu
 
Kwa hyo hvo vyote unavo sema kajenga Mmeo Magu sio? Ebu tumia akili kidogo bas
 
Umenifanya nicheke kweli. Unajua kwa nini?. Kule kwao wanaambiwa tunaishi kama wanyama . Sasa wanapofika na kuona uwanja mzuri aliotutengenezea rais wetu kipenzi Mhe Magufuli, Mandege makubwa yetu yako uwanjani, mahoteli mazuri, na mengineyo anayofanya mweshimiwa Magufuli kama ma fly over, wanavyopokewa vizuri, wanaishia kulia tu maana hawakutegemea. Niliwahi kukutana na wazungu kutoka huko huko wakaniambia hawakutegemea kuona bara bara nzuri Afrika.
mwishowe utainamishwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom