Wazungu walianza kutumia njia za kutoa uhai wa Afrika

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,713
Ni kweli mababu zetu, ndugu zetu tumepoteza sana kwa hawa leo tuna sema wana demekrosia wana haki za binafamu wana umoja wa mataifa.

Afrika ilikuwa na historia yake ila kwa wale wana siasa na zani itakuwa uwanja wenu.

Afrika kuna uchafu ulifanyika hata walio kwenda kwa wazungu japo vizazi vipo ila huko kwa asia sitaki kusema dini itatumika sana
Tujadili wana zengo

IMG_3492.jpg

IMG_3493.jpg
 
View attachment 1672017
View attachment 1672018
 
Hivi hawa wapuuuzi walishawahi hata kutuomba msamaha?
 
Kitu kibaya sana! Ila nomba tusilete nukuu au picha bila kuonyesha chanzo. Ukifanya utafiti kidogo utaweza kutuambia hii picha imechukuliwa wapi na lini.
Hakika haikutumiwa na Waingereza wala na Wafaransa wala na Wajerumani.
 
Hivi hawa wapuuuzi walishawahi hata kutuomba msamaha?
wanasema eti hawahusiki na makosa ya mababu zao wala waliofanyiwa hayo mambo hawapo hivyo hakuna wa kuombwa msamaha wala wa kuomba msamaha
 
Waombe msamaha wakati wanaendeleza ubaya huohuo bado kwa njia za siri?These stupid people are toxic and will never change.
 
Hawa tulijua kabisa wanatutawala Africa kwa mabavu, Je hawa wapya wanapoteza ama kukupa kilema cha maisha wapo kundi lipi?
 
Ni kweli mababu zetu, ndugu zetu tumepoteza sana kwa hawa leo tuna sema wana demekrosia wana haki za binafamu wana umoja wa mataifa.

Afrika ilikuwa na historia yake ila kwa wale wana siasa na zani itakuwa uwanja wenu.

Afrika kuna uchafu ulifanyika hata walio kwenda kwa wazungu japo vizazi vipo ila huko kwa asia sitaki kusema dini itatumika sana
Tujadili wana zengo

View attachment 1672017
View attachment 1672018

Hata kama ni movie mtatuaminisha yalitokea, halafu hao sio watu weusi
 
Ni kweli mababu zetu, ndugu zetu tumepoteza sana kwa hawa leo tuna sema wana demekrosia wana haki za binafamu wana umoja wa mataifa.

Afrika ilikuwa na historia yake ila kwa wale wana siasa na zani itakuwa uwanja wenu.

Afrika kuna uchafu ulifanyika hata walio kwenda kwa wazungu japo vizazi vipo ila huko kwa asia sitaki kusema dini itatumika sana
Tujadili wana zengo

View attachment 1672017
View attachment 1672018
Mh
 
Hiyo picha ni Philippines (Ufilipino) wakati wa utawala wa Waingereza huko. Ni moja ya njia katili zilizotumika kama ilivyokua njia zingine za uuaji kwenye makoloni ya Wareno, Wajerumani, Wafaransa na Wabelgiji.
 
Hapana si vile. Waingereza hawakutumia "garotte". Pia Waingereza hawakuingia Ufilipino. Garotte (kifaa tunachoona kwenye picha) ilitumiwa Ufaransa, zaidi Hispania na Ureno. Haikuwa kifaa kwa ajili ya koloni hasa, ilikuwa kifaa walichotumiwa nyumbani kwa adhabu ya mauti wakakileta hadi makoloni yao. Ambako walijisikia huru zaidi kukitumia kuliko nyumbani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom