Wazungu wahofia kifo cha Mandela

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
Nasikia south africa kuna msemowa weusi unaosema 'wait until Mandela dies'.Je hofu za wazungu ni kweli kwamba Mandela akifa wazungu watanyanganywa mashamba yao kama Zimbabwe?Umasikini wa waafrika wa Afrika ya kusini ni mkubwa zaidi kuliko ule wa waZimbabwe

Je kuna ukweli katika msemo huu?
 
hakuna ukweli apo
kitu kinachouma sana ni kwamba, pamoja na kwamba ni mzee, mandela ule ugonjwa wa mapafu aliupata alipokuwa gerezani, asingekuwa gerezani pengine asingepata ule ugonjwa wa mapafu. ile tu kuonekana kuwa wazungu waliomuweka ndani ndio waliosababisha ugonjwa anaoumwa. inauma sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom