Wazungu vinara vya utumwa na si waarabu Afrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazungu vinara vya utumwa na si waarabu Afrika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malaria Sugu, Jul 11, 2009.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tumepotoshwa kuhusu Utumwa
  Wengi tunaambiwa Utumwa Afrika Ulianzishwa na Waarabu na kufanywa na Warabu. Lkn ukweli kwamba Utumwa ulifanywa hasa na Marekani na Nchi za ulaya ndio maana leo hii Obma anadhuru Ghana na moja ya ziara yake kuangalia makumbusho ya YA utumwa yakifanywa na marekani na wazungu wengine

  symbolism for African-Americans Are slave
  CAPE COAST, Ghana - From the rampart of a whitewashed fort once used to ship countless slaves from Africa to the Americas, Cheryl Hardin gazed through watery eyes at the route forcibly taken across the sea by her ancestors centuries before.
  "It never gets any easier," the 48-year-old pediatrician said, wiping away tears on her fourth trip to Ghana's Cape Coast Castle in two decades. "It feels the same as when I first visited - painful, incomprehensible
   
 2. W

  William John 67 Member

  #2
  Jul 11, 2009
  Joined: Jul 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani uko sawa kabisa
   
 3. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mzee wa Hoja,

  Nakubaliana sana sana na wewe. Watu wanasingizia Waarabu kuwa ndiyo walifanya hii biashara. Ni UONGO wa hali ya juu. Hata huyu Livingstone alijifanya kupinga hii biashara ila ukweli ni kuwa aifanya hii biashara. Akina Tipu tipu walikuwa wazungu wakijivika magwanda ya Kiarabu. Huko Zenji, jamaa pia walijifanya Waarabu. Wakaja hadi Bagamoyo, Tabora, Kigoma na kubeba watumwa kibao wakijifanya wao Waarabu, ila ukweli tunaujua kuwa WALIKUWA WAZUNGU.
  Aisee una akili sana sana kwa kulijua hili, maana ni wachache sana wanaujua ukweli.
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Utumwa ulioharibu Africa ni ule baina ya Waafrika kwa Waafrika, ni utumwa mamboleo. Na huu umefanyika ndani ya miaka 50 tu iliyopita.
   
 5. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2009
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Wewe umesema jambo mjoa muhimu sana. Utumwa wa leo hii au "Modern Slavery" upo duniani kote ila umegawanyika katika matabaka baina ya wanadamu.

  Unaanzia Ulaya, Marekani kwenyewe Asia na kwingine ambako bado matabaka ya watu fulanifulani ndio yalikuwa yanapendelewa na "former colonial masters" na mpaka leo kuwa wana mawasialiano makubwa.

  Kinachofanyika sasa ni kuhakikisha ukoloni mamboleo na ajenda zake za utandawazi, ubeberu na makampuni makubwa ya kimataifa ambayo subsidiary zake zipo hata Tanzania kwa sasa, yanaendeleza tamaa ya kupata faida kubwa kwa kunyonya vibarua ambao ni wengi.

  Utumwa mamboleo hatuaisha, utaendelea kwa vizazi na vizazi vijavyo kutokana na utumwa huo kuwa umejijenga kwa miaka takriban 60 iliopita.
   
 6. W

  WembeMkali JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2009
  Joined: Jun 16, 2007
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmh...naona kama tunaanza kuibadili historia ...wote waaarabu na wazungu( wa ureno,wa hispania,n.k.) walishiriki katika biashara hii..na kamwe tusianze kulaumu kundi moja kwa kuanzisha au kulisifia lingine kwa kuendeleza biashara hii eti tu kwa sababu kuwa hawakuanzisha!! ...

  Wembe.
   
 7. B

  Bunduki Member

  #7
  Jul 13, 2009
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwandishi huna hoja ya ajabu zaidi ya kutaka kuwasafisha waarabu kwa sababu unazozijua mwenyewe!!!!!!! Historia haiwezi kupuuzwa kirahisi rahisi kwa sababu yoyote ambayo wewe unaishabikia. Waarabu walikuwa ni washiriki wazuri sana wa biashara ya utumwa, na ndio waliowafuata hadi ndani kabisa kama Kigoma, Congo, Tabora nk na kuwaleta kabla ya kuwasafirisha kwenda Zanzibar na Uarabuni. Kifupi ile East African Slave trade iliendeshwa na waarabu wakati Triangula slave trade iliendeshwa na wazungu! Wote hawa ni wanyonyaji na wadhulumati wakubwa wa waafrika.
   
 8. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2009
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,984
  Likes Received: 1,556
  Trophy Points: 280
 9. B

  Bull JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2009
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The Church, which owned slaves on plantations in the Caribbean and UK, apologised for its role last year, The slaves owned by the Church were eventually freed in 1833 - 26 years after the abolition of the slave trade in the British Empire.

  And the Church received government compensation for the loss of slave labour of almost £9,000.

  Dr Williams told Trade Roots that the Church needed to consider whether it should make reparation.
  He said Anglicans needed to acknowledge that they belonged to an institution partly shaped "by terrible things that our forbears did".

  What a shame!!!
   
Loading...