Wazungu + unafiki + wizi + utapeli = asili yao wakiwa africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazungu + unafiki + wizi + utapeli = asili yao wakiwa africa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by uttoh2002, Apr 15, 2012.

 1. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Habari za Weekend wakubwa, natumaini mmekuwa na weekend njema. Mimi nina kitu nimekuta kwa hawa wenzetu baada ya kukaa nao, kufanya kazi nao, na hata kufanya nao biashara. I agree they are smart, ila nasikitika jinsi ambavyo wanatudharau na kutuona ni wajinga.

  Kitu cha kwanza cha hawa watu wakija Tanzania wanafikiri hii ni nchi isiyokuwa na mfumo, wanaishi watu ambao wamelala kiakili na hawajui lolote, and they real like to get everything simply and cheaply, everything to them is expensive, lakini wakiwa kwao, this is not the case!

  Huwa wakienda kwao wanaandika vitabu kuhusu Tanzania, nimepata bahati ya kuvisoma, mambo mengi ni ya uongo na yasiyokuwa na maana, na wanaridhishana hivi vitabu na hivyo wakija huku wanakuwa na picha tofauti na ukweli kuhusu wa Tanzania.

  Most of the time wanapokuja Tanzania Kibiashara, wanawatumia wa Tanzania, to make their LIFE EASY, we real have few stupidy Tanzanians ambao huwa tayari kuungana na hawa watu kuwa corrupted, kuuza utu wao, ndugu zao wa Tanzania kwa vifaida kidogo.

  Haipiti mda wakishazoea hapa Tanzania huwatupa waliowasaidia na kuanza biashara zao za kihuni huni, Siwezi kusema ni wote, ILA WAZUNGU WENGI wanaokuja Tanzania, hata wa dini wana agenda nyuma yao za Kibiashara, ni WEZI tu KAMA WEZI WENGINE, STUPIDY MOTHER****ERS!

  I audited one NGO in Arusha, and find out for the past year, they received over $ 187,000, and 86% of this zimetumika kwao kuishi maisha luxury, going on safaris, sleeping in expensive Hotels, renting big houses and so many other nonsense, why is this? they normally come with the idea to save the world, watch them, THEY ARE THIEVES, BIG THIEVES.

  Wakwepa KODI wakubwa, wanafanya kazi na wa Tanzania wachache wasio waadilifu kukwepa KODI na kuiba rasimali za nchi yetu, THEY ARE SIMPLY WHITE STUPID PORKS, I simply hate them, WAKIAJIRI WA TANZANIA wenzangu, wanawanyanyasa, ila na sisi wa Tanzania we are very stupid, unakuta lijitu linafanya kazi kwa hawa watu, na kumchomea Mtanzania mwenzangu kwa kiherehere cha kijinga, ACHENI HIZI TABIA.

  Wazungu ni watu wa kawaida, wana shida nyingi tu kama sisi, ukienda kwenye mji mgumu kwa mfano Stockholm utaona jinsi maisha yalivyo magumu, lakini haya mabata yakija huku yanajidai yamekuja kusaidia kumbe maisha yameyawia magumu yanakuja kuyatafuta huku.

  CCM inawalea hawa watu, rushwa za kutosha, yanakuja yanapata work permit njia za uani, yanatumia rasilimali zetu kujinufaisha, halafu yanatuajiri na kutunyanyasa, JAMANI, huu ni unyama wa aina GANI? HIVI NYINYI CCM tutakuja kuwaambia nini wajukuu zetu? mmeuza rasilimali zetu zote kwa haya mafedhuli, MNATAKA WAJUKUU ZETU WAJE TENA kutafuta UKOMBOZI ambao tulishaupata?

  Mimi nashangaa kwa nini KIJANA AIPENDE CCM, NATAKA KUFANYA UTAFITI, HII NCHI IMEBAKI NINI ZAIDI YA KUUZWA KWA MAFEDHULI WAZUNGU? HA! very very stupidy, INANIUMA sana kumuona mzungu anakuja na capital ya $ 50,000 AND now he is smelling UTAJIRI, how? mbinu na RUSHWA za CCM, na anawanyanyasa wa Tanzania.

  Nenda nchini kwao muone yalivyo mabaguzi na mabinafsi!!!!!

  NGOJENI SIKU ZENU HAZIKO MBALI.
   
 2. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Ulipokuwa unafanya kazi kwa Mzungu ulijiona umeukata. Leo umefukuzwa kwa wizi unakuja kulialia humu. Tafuta kazi kwa Muhindi basi.
   
 3. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Dont be stupidy, I resigned myself, and I can even scan and send you copies of my resignation letters, two years ago, and when I resigned, they told me, nenda kaa miezi mi 3 ukiona bado unahitaji kurudi uje, ukiona hapana uje usign, I have a nice reputable business and last year I made a revenue over $ 180,000, AND MIND YOU, HAVE PAID ALL THE TAXES, to dot ....


   
 4. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Taja ni vitabu gani ulivyosoma, halafu toa proof ya hiyo revenue ya biashara unayodai kupata kwa mwaka mmoja na kodi uliyolipa.
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  Sasa watu wenyewe wa "system at work" njaa kali. Wakiwaona wamekuja wanaanza kulia njaa. Kwanini wasitudharau?
   
 6. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  I dont have to convince you, I know what I know, and I stand by the things I know, and at any cost I normally say what I believe to be true ... who are you that I waste my time to proof to you?

   
 7. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  You should at least be able to provide proof to whoever questions the veracity of your assertions. The fact that you sound very angry and bitter to the extent of spewing vitriol against "Wazungu" and expressing your hatred of them makes one want to question your true motives and intentions. Anybody can claim anything in here, what makes you think your words are credible at face-value without any sort of proof to back them up?
   
 8. Laigwanan76

  Laigwanan76 JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mbona unawatetea sana........huyu jamaa katoa hint,waswahili wanasema '''lisemwalo lipo.............'''

   
Loading...