Wazungu ni watu wabaya na wa hovyo mno

Waarabu Wamekuzalisha bila ndoa au?
Basi ukute we kinachokusumbua ni ule ulaji wa mbuzi katoliki tu. Hakuna jingine
Nilijua tuu shida wewe Kwa vyovyote vile ni muislam. Inaonekana wewe hauna Elimu zaidi Dunia. Na Zanzibar ndio ilikuwa soko la watumwa. Waarabu baada ya kuwachukua watu weusi kule uarabuni waliwahasi wanaume ILO wasizae. Ila uduni unakutesa. Na utaendelea kuwa zube.
 
Hii ishu ni pana zaidi kuliko tutakavyoandikiana hapa.

Mwalimu Nyerere na Kwame Nkrumah walikua na hii ndoto ya kuiunga Afrika kua moja na walitarajia hizi AU, EAC, SADC, n.k iwe ni mwanzo tu kuelekea huko.

Ni miaka mingapi imepita tangu hizi taasisi ziasisiwe? Afrika ipo wapi katika kuungana?
Wachache Sana wanaojua hili aisee. There are alot behind the scene.
 
We unaejiita Chaula unaulizwa swali na wewe unauliza swali.
Mkiambiwa "Ache kula viti moto" hamtaki.
Mtandao wa haramu uko vipi?
Na hata km upo vipi uwajumlishe watu zaidi ya Milion 500 Na kuwaita wabaya?
We vipi Chaula. ! Au mwezi mchanga.
Nasubiri anijibu kwanza ni mtandao upi huo anaouzungumzia???
 
101693673_10220723917181703_5546027772528295936_o.jpg
Walijuaje kama ni biblia?
 
Napata mawazo Sanaa kuhusu zikija issue Kama hizi kucompare kuwa kusema kunawaafrika wanaroho Kama hizo sipingi wapo ila wazungu ni race yakufutilia mbali duniani
 
Leo hii ndo hawa hawa tunawaona watu kuliko binadamu
Wasio julikana walio ua akina Alphonse mawazo/ na kumpiga risasi tundu lisu na kutesa wapinzani kubambikizia kesi watu ni haohao wazungu hawalitakii mema taifa letu wanatuonea wivu.
 
Na leo hii eti bado tunawalilia lilia kama mke anataka dume ! wapinzani tubadilike
Wasio julikana walio ua akina Alphonse mawazo/ na kumpiga risasi tundu lisu na kutesa wapinzani kubambikizia kesi watu ni haohao wazungu hawalitakii mema taifa letu wanatuonea wivu.
 
Wameghiribu na kuharibu akili zetu. Hatuwezi kufanya lolote bila ya kuwategemea wao.
Wasio julikana walio ua akina Alphonse mawazo/ na kumpiga risasi tundu lisu na kutesa wapinzani kubambikizia kesi watu ni haohao wazungu hawalitakii mema taifa letu wanatuonea wivu.
 
Hapana ndugu. Nadhani tunaweza kabisa kujitegemea kama Africa kiasi wao waje kuomba kwetu kushirikiana,kungekua na viongozi takribani 30-40 ktk nchi za kiafrika,tukaamua kuiunga Africa kua moja na kufanya mambo yetu,aisee itawezekana..kuna mambo makubwa mawili tu yanayo tuangusha, kuweka mipaka ya nchi na nchi hapa Africa na kukubali elimu iliyo jaa misingi ya kigeni,hili kosa kubwa sana hapa Africa,laiti tungekua na kina Magufuli 40,kina Nkwame Nkuruma 40, kina Ghadafi 40 na wakaweza wazo moja la kujitenga na udhalimu wa mtu mweupe tungeanza kwa ugumu fulani lakini vizazi vyetu vingekaa sawa huko mbeleni. Wazungu ni wabaya sana hata kama huja na misaada mingi kwetu na kujifanya ni marafiki lakini ni wanafiki tu. Ukoloni bado upo isipokua wanatumia akili tu.
Hawa wabinafsi hawawezi kuungana
 
Back
Top Bottom