Umeanza vizuri katikati uneharibu magufuli kafanya nini? sasaHapana ndugu. Nadhani tunaweza kabisa kujitegemea kama Africa kiasi wao waje kuomba kwetu kushirikiana,kungekua na viongozi takribani 30-40 ktk nchi za kiafrika,tukaamua kuiunga Africa kua moja na kufanya mambo yetu,aisee itawezekana..kuna mambo makubwa mawili tu yanayo tuangusha, kuweka mipaka ya nchi na nchi hapa Africa na kukubali elimu iliyo jaa misingi ya kigeni,hili kosa kubwa sana hapa Africa,laiti tungekua na kina Magufuli 40,kina Nkwame Nkuruma 40, kina Ghadafi 40 na wakaweza wazo moja la kujitenga na udhalimu wa mtu mweupe tungeanza kwa ugumu fulani lakini vizazi vyetu vingekaa sawa huko mbeleni. Wazungu ni wabaya sana hata kama huja na misaada mingi kwetu na kujifanya ni marafiki lakini ni wanafiki tu. Ukoloni bado upo isipokua wanatumia akili tu.
Kwanini shuleni hatufundishwi hii historia nzuri?
Tumia akili,kutumbuliwa kwako au kuminywa mianya yako ya wizi wa pesa za wananchi haubadilishi ukweli wa ubora wa Magufuli
Mbona mnapokea misaada yao?Na leo hii eti bado tunawalilia lilia kama mke anataka dume ! wapinzani tubadilike
Eti tunawaita wadau wa maendeleoLeo hii ndo hawa hawa tunawaona watu kuliko binadamu
Mwenyekiti wake ni Yesu wa CCM( kwa mujibu wa kangi Lugola )Roho ya mwenyekiti wako inatofauti gani na wakoloni ?
Shetani ni mbaya na watu wanaendelea kutenda dhambiMbona mnapokea misaada yao?
Wabaya kama waarabu???Hapana ndugu. Nadhani tunaweza kabisa kujitegemea kama Africa kiasi wao waje kuomba kwetu kushirikiana,kungekua na viongozi takribani 30-40 ktk nchi za kiafrika,tukaamua kuiunga Africa kua moja na kufanya mambo yetu,aisee itawezekana..kuna mambo makubwa mawili tu yanayo tuangusha, kuweka mipaka ya nchi na nchi hapa Africa na kukubali elimu iliyo jaa misingi ya kigeni,hili kosa kubwa sana hapa Africa,laiti tungekua na kina Magufuli 40,kina Nkwame Nkuruma 40, kina Ghadafi 40 na wakaweza wazo moja la kujitenga na udhalimu wa mtu mweupe tungeanza kwa ugumu fulani lakini vizazi vyetu vingekaa sawa huko mbeleni. Wazungu ni wabaya sana hata kama huja na misaada mingi kwetu na kujifanya ni marafiki lakini ni wanafiki tu. Ukoloni bado upo isipokua wanatumia akili tu.
Tunawaona wanajua demokrasia na wanafaa kuigwa. Aliyeturoga waafrika yuko wap?Leo hii ndo hawa hawa tunawaona watu kuliko binadamu
Nlitaka kumwambia hivyo hivyo kudaadeki zakeWanatugawia bure? Yaani mtu apike vitumbua vyake huko mm kumuungisha iwe shida? Acha shobo kwa white
Nataka nijue kuhusu waarabu mkuu. Maana naskia waarabu ni màkatiliWazungu ni watu wa hovyo mno kupita maelezo.Binafsi siwafagilii kabisaa.
Ni upi ubaya wao???Wazungu na waarabu ni watu wabaya sana . tena waarabu ninwavaya zaidi
Nao pia sio watu wazuri,hivi si ndo waasisi wa ule mtandao ambao ni haramu??.Nataka nijue kuhusu waarabu mkuu. Maana naskia waarabu ni màkatili
Waarabu Wamekuzalisha bila ndoa au?Wazungu na waarabu ni watu wabaya sana . tena waarabu ninwavaya zaidi
Nataka nijue kuhusu waarabu mkuu. Maana naskia waarabu ni màkatili
We unaejiita Chaula unaulizwa swali na wewe unauliza swali.Nao pia sio watu wazuri,hivi si ndo waasisi wa ule mtandao ambao ni haramu??.
Nimekugusa ???.Au niongeze volume?.We unaejiita Chaula unaulizwa swali na wewe unauliza swali.
Mkiambiwa "Ache kula viti moto" hamtaki.
Mtandao wa haramu uko vipi?
Na hata km upo vipi uwajumlishe watu zaidi ya Milion 500 Na kuwaita wabaya?
We vipi Chaula. ! Au mwezi mchanga.