Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nilikuwa sijaelewa D.Trump alikuwa anaamaisha nini aliposema kwamba USA itajenga ukuta kuitenganisha na nchi ya Mexico na kwamba gharama ya ukuta huo italipiwa na Wamexiko wenyewe, sasa baada ya kufwatilia ndo nimeelewa, kumbe kuna Wamexiko wengi wanaishi nchini USA na hutuma Mabilioni ya Dola nchini kwao Mexiko ktk USA, sasa kwenye hayo Mabilioni wanayotuma kwao Mexiko ktk USA yatakatwa kodi ndiko hela ya Ujenzi wa ukuta itakapotoka dah! Nimechoka mwenyewe kweli Wazungu ni nooma!
Haya ndo mambo ya kuiga ktk kwa Wazungu na siyo kuiga kuongea Kiingereza na ujinga mwingine haya sasa unajua kuongea Kiingereza kwa kubana pua kwa hiyo, nini kinafwata?
Hata sisi pia tuweke kodi fedha yote inayoingia na kutoka nchini mwetu halafu tuiwekeze kwenye maendeleo yetu!