Wazungu na Mongela kuitwa Rais wa TZ, JK yupo wapi?

Mgoyangi

Mgoyangi

Senior Member
Joined
Feb 6, 2008
Messages
184
Likes
3
Points
35
Mgoyangi

Mgoyangi

Senior Member
Joined Feb 6, 2008
184 3 35
Brown told 'don't arm-twist Zimbabwe'
Updated 11.23 Fri Sep 21 2007
Keywords: African Union, Zimbabwe, Robert Mugabe, Gordon Brown
The Tanzanian president Gertrude Mongella has told Gordon Brown that
"arm-twisting" is not the way to solve Zimbabwe's problems.

Dr Mongella also accused the Prime Minister of manipulating Africa as the
controversy grew over Zimbabwean President Robert Mugabe's attendance at a
major summit later this year.

Mr Brown said he will not go if Mr Mugabe - blamed for Zimbabwe's mounting
economic, political and humanitarian troubles - is at the tableHer remarks
reflect the African Union's determination to go ahead as planned and
invite Mr Mugabe to a major EU-Africa summit in Lisbon, Portugal, in
December.

economic, political and humanitarian troubles - is at the table.

But the African Union, which includes Zimbabwe and was set up to promote
co-operation between independent African countries, has warned the EU that
some key political African leaders will stay away from the talks if one of
its members is snubbed.

The Portuguese government, in the EU presidency and organising the event,
is now walking a diplomatic tightrope in its efforts to appease Mr Brown -
whose views about Mr Mugabe are widely shared across Europe - while
avoiding the collapse of what is seen as a crucial event on Africa.

Hopes that Mr Mugabe could be persuaded to send a junior representative
from his country were dashed by Zimbabwe's UN ambassador, who insisted his
president would attend if invited.

Now Dr Mongella, attending a conference with Socialist Euro-MPs in
Brussels, has made clear that African solidarity might undermine Mr
Brown's "him or me" challenge to the summit.

She said: "We do know there are some problems (in Zimbabwe), but if
somebody wants to arm-twist Zimbabwe, that's not the best way to solve the
problems.

"I think this is again another way of manipulating Africa. Zimbabwe is a
nation which got independence.

"I think in the developed countries there are so many countries doing
things which not all of us subscribe to: we have seen the Iraq war - not
everyone accepts what is being done in Iraq."

Dr Mongella urged all government leaders to go to the summit - including
Mr Brown - to join the talks to "meet, develop a very committed dialogue
to solve problems, rather than threatening each other by going or not
going."

© Independent Television News Limited 2007. All rights reserved.

Post to del.icio.us Digg this story Post to reddit Post to Facebook Post
to StumbleUpon Seed Newsvine Add ITN News Search to my Google Toolbar

Naam, hivi ndivyo Independent TV News ilivyowahi kuripoti, Mongela Rais wa Tanzania.
 
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Messages
11,845
Likes
80
Points
0
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2007
11,845 80 0
is this for real? ............
 
Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2007
Messages
4,134
Likes
73
Points
145
Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2007
4,134 73 145
Kumbe media haimjui JK sasa matrip kibao ya nje ya nini kama hakutani na media za huko walau waweze kumjua?
 
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Messages
11,845
Likes
80
Points
0
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2007
11,845 80 0
kikwete lazima aliye akiiona hiyo............manake anafikiri zile safari zake zote bure !
 
K

Kungurumweupe

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2008
Messages
317
Likes
33
Points
0
K

Kungurumweupe

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2008
317 33 0
Brown told 'don't arm-twist Zimbabwe'
Updated 11.23 Fri Sep 21 2007
Keywords: African Union, Zimbabwe, Robert Mugabe, Gordon Brown
The Tanzanian president Gertrude Mongella has told Gordon Brown that
"arm-twisting" is not the way to solve Zimbabwe's problems.

Dr Mongella also accused the Prime Minister of manipulating Africa as the
controversy grew over Zimbabwean President Robert Mugabe's attendance at a
major summit later this year.

Mr Brown said he will not go if Mr Mugabe - blamed for Zimbabwe's mounting
economic, political and humanitarian troubles - is at the tableHer remarks
reflect the African Union's determination to go ahead as planned and
invite Mr Mugabe to a major EU-Africa summit in Lisbon, Portugal, in
December.

Mr Brown said he will not go if Mr Mugabe - blamed for Zimbabwe's mounting
economic, political and humanitarian troubles - is at the table.

But the African Union, which includes Zimbabwe and was set up to promote
co-operation between independent African countries, has warned the EU that
some key political African leaders will stay away from the talks if one of
its members is snubbed.

The Portuguese government, in the EU presidency and organising the event,
is now walking a diplomatic tightrope in its efforts to appease Mr Brown -
whose views about Mr Mugabe are widely shared across Europe - while
avoiding the collapse of what is seen as a crucial event on Africa.

Hopes that Mr Mugabe could be persuaded to send a junior representative
from his country were dashed by Zimbabwe's UN ambassador, who insisted his
president would attend if invited.

Now Dr Mongella, attending a conference with Socialist Euro-MPs in
Brussels, has made clear that African solidarity might undermine Mr
Brown's "him or me" challenge to the summit.

She said: "We do know there are some problems (in Zimbabwe), but if
somebody wants to arm-twist Zimbabwe, that's not the best way to solve the
problems.

"I think this is again another way of manipulating Africa. Zimbabwe is a
nation which got independence.

"I think in the developed countries there are so many countries doing
things which not all of us subscribe to: we have seen the Iraq war - not
everyone accepts what is being done in Iraq."

Dr Mongella urged all government leaders to go to the summit - including
Mr Brown - to join the talks to "meet, develop a very committed dialogue
to solve problems, rather than threatening each other by going or not
going."

© Independent Television News Limited 2007. All rights reserved.

Post to del.icio.us Digg this story Post to reddit Post to Facebook Post
to StumbleUpon Seed Newsvine Add ITN News Search to my Google Toolbar

Naam, hivi ndivyo Independent TV News ilivyowahi kuripoti, Mongela Rais wa Tanzania.

Bravo Mongella, though the report is long overdue! Ila hiyo ya urais uliopewa ni kali!
 
Z

Zanaki

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2006
Messages
544
Likes
5
Points
35
Z

Zanaki

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2006
544 5 35
mmmhhh,mi nilijua ni Mlima Kilimanjaro tu ndio unawachanganya hawa wazungu,.......sasa duh!Hata la kusema sina
 
K

kela72

Senior Member
Joined
May 5, 2008
Messages
168
Likes
0
Points
0
K

kela72

Senior Member
Joined May 5, 2008
168 0 0
Kuna kipindi baadhi ya wanahabari wa Bongo walisema walisema eti JK huyu anaumaarufu kuliko JK Mwalimu Nyerere?!!!!! Kiko wapi? mh, haya.
 
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
19,081
Likes
4,928
Points
280
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
19,081 4,928 280
Huo ni mgawanyiko uliokuwepo!

JK hana nguvu ya kuwasemea Waafrika wala watanzania kwasababu ni CORRUPT.

Hawezi tena...Issue yote sasa iko wazi...Pesa zilitoka IRAN...Na ni pesa za URANIUM...

Sasa USA wakamtisha kwa niaba ya CANADA..

Tukumbuke kabla na baada ya vita ya Iraki..Mcanada pia alipewa majukumu mengine kama vile Afrika baada ya kutowa msaada huko Afghanistan.

Ni kama nchi nyingine zilizomsaidia Bush makubaliano yalikuwepo kama vile Bush kumpa tafu Blair ili kumuondowa madarakani Mugabe baada ya Blair kumpa tafu Bush dhidi ya Saddam licha ya kilio cha Dunia!

Ile coalition ya Bush ya kwenda vitani huko Iraki waligawana mali za dunia kwa kisingizio cha vita ya ugaidi.

Sasa kwasababu vita iko kati ya Mmarekani na Mchina na sasa MRUSI AMBAYE NDIYE ANAHODHI ASILIMIA KUBWA YA MAFUTA DUNIANI(Putin ana 30% ya mafuta yote duniani)...

Muirani alishapenyezwa hapo na JK through RA na hapo ni mtego mbaya ambao unaweza kuliingiza Taifa letu matatani.

Muiran hataki mmarekani afanikiwe kwa lolote kwani ameshagunduwa kuwa anaweza kuvamiwa.

Tatizo lilomwangusha Bush ni ukweli kuwa hana nia nzuri na dunia hii!

Lakini hilo halina maana kuwa wa Iran nao ni watu wa kuwaamini!

Mzungu na mwarabu lao moja dhidi ya mwafrika...Kumkandamiza na kumtumikisha!

Mwarabu alimkamata mwafrika akamwuza kwa mzungu...Wote majambazi wa binadamu na wauzaji na wanunuwaji wote ni MASHETANI!

Na hawa wasituingile tena kwani bila Afrika hawawezi kuishi wala kujiita wao wameendelea!

AFRIKA WAKIJA PAMOJA...BASI NDIO UTAKUWA MWANZO WA MWISHO WA UTUMWA HUU!

Upande wa Mugabe ni upande wa mwafrika yoyote asiye mwoga.

Woga ambao ni wazi kama sasa umechangiwa na UFISADI WALIOUFANYA viongozi wetu na hivyo wanaogopa kuyasimamia maslahi ya wananchi na waafrika kama wanavyofanya kina Mbeki... na badala yake wanayasimamia makampuni yale yale yaliyowatega kwa RUSHWA kupitia mlango wa nyuma ili kumkamata shingo yake vizuri.

Makampuni ambayo ni ya huko SA na yana hatarisha usalama wa mwafrika hata huko kwa kina MBEKI.

Na ndio maana watanzania walitimuliwa kutoka huko kwani hakuna watu wenye kuuendekeza UTUMWA TENA..

Sasa hapo ndipo inapokuja haja ya MAPINDUZI.
 
Nzokanhyilu

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2007
Messages
1,087
Likes
26
Points
0
Nzokanhyilu

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2007
1,087 26 0

Hiviiiiii, what is wronging you?
crazy%20frog.jpg
 
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,550
Likes
642
Points
280
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,550 642 280
Siku Obama alishinda NOMINATION ya chama chake, CNN waliunganisha waya na Jesse Jackson wakati huo jamaa yupo Tanzania, Arusha. Wakati wakiongea CNN hao hao waliandika kuwa JJ yupo ASHURA, Tanzania.
Kituko kingine ni kuwa walionyesha ramani ya Ulaya. Hapo wakawa wameweka kila nchi nchi na jina lake. Unaona Czeck na pembeni Slovakia. Juu unaona Poland. Pembeni mwa Poland upande wa kushoto wakawa wameandika IRAQ. Jamaa wengi walicheka sana hasa ukichukulia siku hiyo Wajeruman walishinda mechi na watu wakawa wanasema LEO WAIRAQ wamefurahi sana.
Walisema ULIMI HAUNA MFUPA.......
 
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
7,386
Likes
1,242
Points
280
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
7,386 1,242 280
Kikwete hajulikani kabisa kama Rais wa Tanzania labda kwa Bush tu, nako ni kutokana na Barrick.

Na huyu Dr Mongella naye ni dokta wa kitu gani?
 
Bubu Msemaovyo

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Messages
3,435
Likes
58
Points
145
Bubu Msemaovyo

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2007
3,435 58 145
Of course wanadhani JK ni waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, maana anajimwaga sana huko nje. Hawajakosea kamwe.
 
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Likes
92
Points
0
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 92 0
Mama Mongella bado yupo tu kwenye siasa? Duh! baada ya ile noma si aliamua kunyamaza sasa imeisha nini ameanza tena?

Maana si unakumbuka kabla ya ile soo jinsi alivyokuwaga na filimbi, ziliisha naona zimeanza tena, sasa aulizwe vipi lile soo lake maana mpaka leo hajajibu! Halafu na yeye amekuwa Doctor kama Mzindakaya? Aahhhhhhhhhggggrrrrr!!
 
K

KakindoMaster

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2006
Messages
1,351
Likes
58
Points
145
K

KakindoMaster

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2006
1,351 58 145
Halafu na yeye amekuwa Doctor kama Mzindakaya? Aahhhhhhhhhggggrrrrr!!
Si Tanzania unaamua kujiita tu!

Kwani Tanzania kuna qualifications za kuwa Dr. Wewe hata ukikaa bungeni Umesinzia(hata bila kuchangia chochote) baada ya miaka mitano jipige Dr. tu? Unajua ukirudi kijijini inkuwa ni rahisi kupata kura tena.
 
Forum statistics

Threads 1,237,974
Members 475,809
Posts 29,308,500