Wazungu Hawa Wanafanya nini Tanga?


Mwawado

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2006
Messages
998
Likes
31
Points
35

Mwawado

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2006
998 31 35
Ndugu Wanajamii!,
Kuna Wazungu Watatu wanaishi mjini Tanga,Ni raia wa Nchi za kigeni.Ni Wazungu ambao wamekuwa kero kwa Wakazi wengi wa Tanga.Inasemekana kuwa Wazungu hao ni Wawekezaji,haijulikani wanawekeza kwenye kitu gani,wamekuwa wanazurura kila kona ya Tanga mjini na kutoka na Wadada/Wamama wa mji huo.Wazee wa Mji huo wametoa ripoti Polisi na Idara ya Uhamiaji lakini hakuna anayefuatilia kwa ukaribu suala hilo.Si rahisi kujua hawa raia wa kigeni wanafanya nini Tanga,tusipokuwa waangalifu tutakaribisha Magaidi au watu anaokuja kufanya matendo maovu na Dada/watoto zetu kwa sababu wana shida ya fedha.Tujaribu kujenga jamii inayoheshimika kwa kukemea mambo haya ambayo ni kinyume cha tamaduni zetu!
 

Forum statistics

Threads 1,203,837
Members 456,990
Posts 28,131,543