Wazungu bwana, wanajifanya wana huruma sana

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,421
3,391
Nilibahatika kupata kazi sehemu ya shamba boy kwa mzungu,sasa lile eneo lilikuwa na vindege vingi sana,siku moja yaani ni siku Tisa kwanza nimepata kazi nikawa nimepika ugali na nilishapanga kuwa kunitapiga ndege,nilie ugali,nikawa na manati,kweli nikaanza kulenga vile vindege.

Nilikuwa na shabaha kila nikilenga sikosi,kumbe yule mzungu alikuwa ananichungulia dirishani, Mara akashuka akanigea elfu ishirini na tano,nikaona huenda amependezwa kuona nina shabaha sana.

Na Mimi kumuonyesha kuwa mimi ni hatari kesho yake ikawa kama jana mwendo wa kulenga ndege,jiwe ndege sikosi.

Mara naona walinzi wananifuata na kuniambia nitoke nje ya geti, mzungu hataki kuniona eti pamoja na kunipa hela ya kula Jana bado nimeendelea kuua ndege.

Sasa swali nauliza kwani ndege wale wa kwake hadi aumie,nimepanga kuweka mwanasheri amevunja mkataba na anilipe.
 
Hapa ndipo napowapenda wazungu wana moyo wa huruma wa ukweli
 
Wanahuruma ya kinafki ila wakute wanatengeneza manyuklia utajuta wako serious utafikiri wanataka kuhamisha dunia iende solar system nyengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom