Wazoefu na wabobezi wa mabasi njia ya Dar-Iringa-Mbeya, ni mabasi gani mazuri na ya uhakika?

Mkuu kama hautojali, hebu tufafanulie Kwa faidi ya sisi wengi.
Ruaha upande wa Iringa ukitokea Dar ni Mbuyuni yaani inayopakana na Moro, hivyo kuna upande wa Moro na upande wa Iringa; ndivyo nilivyomuelewa mimi. Ruaha ya Iringa inaweza kuwa Ipogolo kwenye mto.
 
Au kata ya Ruaha ipogolo kibwabwa na Ndiuka
 
Ruaha upande wa Iringa ukitokea Dar ni Mbuyuni yaani inayopakana na Moro, hivyo kuna upande wa Moro na upande wa Iringa; ndivyo nilivyomuelewa mimi. Ruaha ya Iringa inaweza kuwa Ipogolo kwenye mto.
Unapozungumzia wewe panaitwa ruaha mbuyuni, huwezi kupaita ruaha, pia sio kila ulipopita mto ruaha panaitwa ruaha, ndio maana kuna majina yake mfano ipogolo nk
 
Hizo gari ni za mbeya lakini
Hivi mkuu, kwa haya magari ya Mbeya kuna utaratibu gani juu ya nauli Kwa abiria wanaoshukia njiani kama Iringa? Je wanalipa nauli moja na wale wa Mbeya mkuu?
 
Kama ni msimu wa abiria wengi unalipishwa ya mbeya kama abiria wachache wanakuchukua kwa nauli ya sehemu utakapoishia
 
Back
Top Bottom