Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,758
- 71,139
Unadhani wenzako wanajisemea tuu kwa kuropoka kama nyie na uzushi wenu? Makampuni hayo hesabu zao za mizania ziko wazi (statement of Assets and Liabilities) na hesabu hizo zinakaguliwa na makampuni makubwa ya kimataifa yenye wataalamu wabobezi.Nani aliyekwambia uwezo wake ni mdogo kuliko anachodaiwa?yaani kajipimia mwenyewe uwezo na unamuamini?
Mnataja tuu trilion 108 kama hela ya mchezo wakati nyie kama nchi yenye vyanzo vingi vya mapato budget ya Trilion 28 tuu mnashindwa hata kuitekeleza kwa 50%? Mnashindwa hata kupeleka chanjo za watoto kwenye zahanati, watoto bado wanakaa chini mashuleni nk nk?