Wazo :Tujumuishe wahisani kwenye tume zetu za uchaguzi?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,950
29,532
Kuna watu wanalia sana kwamba tume za uchaguzi haziko huru...

Pia watu hao wa kulialia wanaamini sana opinions za waangalizi wa uchaguzi au hata wahisani.

Sasa je tuwakaribishe wahisani au waangalizi wa uchaguzi kuwa wajumbe wa tume za uchaguzi ili tuzikubali kuwa huru?
 
Back
Top Bottom