Wazo Tafakuri: TAKUKURU Inao uwezo wa kuhoji kuwachukulia hatua wateule wa Rais?

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,734
7,610
TAKUKURU Inao uwezo wa kuhoji, kuwachukulia hatua wateule wa Rais?
TAKUKURU inaweza kuwahoji na kuwachukulia hatua wana Siasa wa chama tawala?
TAKUKURU ni taasisi ya Umma?
Kama ni taasisi ya Umma inaendeshwa kwa mjibu wa sheria za Inchi, au inaongozwa kwa mjibu wa matakwa ya mwenye mamlaka?
 
Mkuu TAKUKURU ni chombo huru,ndio inavyopaswa kiwe lakini hali ni tofauti kabisa..

Kumbuka wakati wa awamu ya JK ilikuwa inasemwa sana kwamba TAKUKURU wanapata maelekezo ya nani akamatwe na afunguliwe mashtaka kutoka kwa Watawala.. Je kwa utawala huu ambao UNAWAPROMOTI watuhumiwa ambao majina yao yamepelekwa TAKUKURU na Ushahidi wa matendo ya rushwa upo dhahiri hali itakuwaje??

Issue ya Nassari hata kuisemea tu wapo kimya kabisa kama hakuna lililofanyika kwa Madiwani wale walionunuliwa na CCM kupitia kwa Mnyeti..

Aibu kubwa.

Naona sasa chombo hiki kikipoteza kabisa credibility yake kwa wananchi.
 
Mimi naona wapo vzr shida ni kwamba walitoa mbinu kwa adui kwenye media ndo maana taarifa fiche/siri ikawa siyo siri tena masuala ya uchunguzi ni siri sasa yatachunguzwa vp wakati mambo yote hadharani? Mtuhumiwa hatakuwi kufahamu lolote kama anachunguzwa ili kuwepa pata data mi nadhan hapa tatizo wameleta hawa ndg zetu walalamikaji
 
Mnyeti amepanda cheo sasa ni RC baada ya kutuhumiwa
 
Wewe umewahi kuwa mpelelezi? Ni mpelelezi? Au una wish kuwa mpelelez? Kama si mojawapo kati ya hayo, acha arguments za kitoto.
 
Haina uwezo huo ni tuna aminishwa tu kwenye majukwaa ya kisiasa ..
 
Mimi naona wapo vzr shida ni kwamba walitoa mbinu kwa adui kwenye media ndo maana taarifa fiche/siri ikawa siyo siri tena masuala ya uchunguzi ni siri sasa yatachunguzwa vp wakati mambo yote hadharani? Mtuhumiwa hatakuwi kufahamu lolote kama anachunguzwa ili kuwepa pata data mi nadhan hapa tatizo wameleta hawa ndg zetu walalamikaji
Ni kwel kabisa
 
Mkuu ushahidi si upo wazi haikutakiwa iwe siri maana yale si mambo ya kijeshi ni Rushwa
 
Wewe umewahi kuwa mpelelezi? Ni mpelelezi? Au una wish kuwa mpelelez? Kama si mojawapo kati ya hayo, acha arguments za kitoto.
Mimi si wish kuwa mpelelezi wala siyo mpelelezi na nime argue kitu halisi wewe unafikiri utamshinda adui kwa kumpa mbinu zako unazotumia ili kuweza kumkabili? vita ni mbinu best hebu toa arguments zako ku support hii hoja maana ipo wazi mwisho imekuwa taarifa yenye elements za majungu maana imewekwa wazi na kina nassary kabla ya uchunguzi wa awali.Nawasilisha
 
Una tafta mwizi wako wa sim, na mimi nimemkamata nimekuletea na sim akiwa nayo kuna haja gani umuchunguze si upeleke mahakaman akahukumiwe
 
Takukuru kama ni nzuri ni yetu na kama ni mbaya ni yetu.
Hakuna jinsi.....ok
 
Mnyeti amepanda cheo sasa ni RC baada ya kutuhumiwa
Tuhuma za Mneti naomba unisamehe ni za (ngoja niache). TAKUKURU inachunguza hasa viongozi. Kiongozi ambaye TAKUKURU haiwezi mchunguza ni Rais tu. Kumbuka hata Lowassa Wakati wa Richmond walimchunguza na kupeleka ripoti kwa JK.

Hivi inawezekana vipi mtu uhongwe ili uaache uongozi. Kama mtu anahongwa basi chama cha siasa lazima kijichunguze na kutia walakini system yake. Kwanza kabla ya kuomba kuteuliwa huwa kuna system inafuatilia kama mtu ni mwanachama sawia wa chama, matendo yake n.k. Ni aibu kusema mtu wetu amenunuliwa. Hivi ukiwa na wanachama, hasa viongozi wanaonunuliwa si fedheha kwa chama? Hebu tuache hizi siasa za ki.....
 
Kwa issue ya Nasari TAKUKURU wamenasa kwenye mtego ambao ni vigumu sana kujinasua,lazima wacheze kuendana na mdundo wa ngoma.
 
Kuna Bwana mmoja alikuwa TRA alikamatwa kesi ilipoanza serikali ikasema haina kusudio la kuendelea na kesi sijui ni kwa nini ilikua hivo?
 
Mkuu TAKUKURU ni chombo huru,ndio inavyopaswa kiwe lakini hali ni tofauti kabisa..

Kumbuka wakati wa awamu ya JK ilikuwa inasemwa sana kwamba TAKUKURU wanapata maelekezo ya nani akamatwe na afunguliwe mashtaka kutoka kwa Watawala.. Je kwa utawala huu ambao UNAWAPROMOTI watuhumiwa ambao majina yao yamepelekwa TAKUKURU na Ushahidi wa matendo ya rushwa upo dhahiri hali itakuwaje??

Issue ya Nassari hata kuisemea tu wapo kimya kabisa kama hakuna lililofanyika kwa Madiwani wale walionunuliwa na CCM kupitia kwa Mnyeti..

Aibu kubwa.

Naona sasa chombo hiki kikipoteza kabisa credibility yake kwa wananchi.
Uhuru wa hicho chombo unatoka wapi wakati anayewateua ndiye anayeidhinisha bajet yao? we ukiona bunge limeshikwa masikio na taasisi nyinge nazo ni hivohivo.
 
Mimi si wish kuwa mpelelezi wala siyo mpelelezi na nime argue kitu halisi wewe unafikiri utamshinda adui kwa kumpa mbinu zako unazotumia ili kuweza kumkabili? vita ni mbinu best hebu toa arguments zako ku support hii hoja maana ipo wazi mwisho imekuwa taarifa yenye elements za majungu maana imewekwa wazi na kina nassary kabla ya uchunguzi wa awali.Nawasilisha
Nimekuuliza hivyo kwa sababu kwa mujibu Wa maoni yako unadhani kila uchunguzi unaanza na taarifa ya siri na kuendelea kuwa siri, siri hadi izidi kuwa siri. Kwa taarifa yako vyanzo vya taarifa za kufanyia Kazi kiuchunguzi ni vingi, wamo wasiri, vyombo vya habari, ripoti za kitafiti, vifaa vya kutunza taarifa MF. CCTV cameras, flash disks etc. Kwa maana hiyo siyo matukio yote yanayochunguzwa mtuhumiwa huwa hajui kuwa anachunguzwa. Ndo maana unasikia Fulani kasimamishwa Kazi kupisha uchunguzi. Na katika suala la Almeru ndicho kilichotakiwa kufanyika, lkn kwa vile tunapiga vita rushwa kwa kutumia siasa, mtuhumiwa badala ya kusimamishwa kapandishwa cheo! Njia ilikuwa moja tu, Simamisha Kazi mtuhumiwa Fanya uchunguzi, ukigundua ni kweli mchukulie hatua, ukigundua ni uongo chukua hatua kwa mleta taarifa kwa kutoa taarifa ya uongo na vifungu vya sheria vya kumshitaki vipo. Dola inaogopa nini na wewe jiulize?????
 
Back
Top Bottom