WAZO: Somo la ujasiriamali lifundishwe mashuleni

maharage ya nazi

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
344
229
Ikiwa Somo la Siasa/Uraia linafundishwa tokea shule za msingi. Kwanini somo la ujasiriamali lisifundishwe mashuleni kumwandaa mwanafunzi na maarifa ya kujiajiri? Wadau toeni hoja
 
Na watakaofundisha hilo somo wasiwe walimu ambao hawajawahi kufanya ujasiriamali

Inawezekanaje mtu aliyeshindwa kukifanya kitu akakupa uwezo wa kukifanya ilihali mwenyewe hana

Ndio wale wale wanaotuambia tujiajiri ila wao kutwa kubadili miaka ili waendelee kukaa ajirani
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom