WAZO: Sisi kama wasomi tuanzishe jamii(society) itakayotusaidia katika mambo mbalimbali

NaoH

Member
Jul 7, 2017
51
26
Habari wakuu,
Mimi ni mwanafunzi wa advance hapa nchini, nimekuwa member wa JF tangu zamani sana hasa katika jukwaa la Elimu.

Wazo langu ni kuwa tuanzishe society ambayo itakuwa na members wachache ambao tutatumia ELIMU na AKILI zetu kutatua mambo mbalimbali hasa yanayohusu maendeleo yetu binafsi (kwa sababu Siku zote umoja ni nguvu utengano ni udhaifu) tutakuwa na sheria zetu na taratibu zetu ambazo zitatusaidia katika mambo mbalimbali....malengo ya hii society ni kama yafuatayo:

1.Kusaidiana katika harakati za kielimu na fursa zinazopatikana ndani na nje ya elimu.

2.Kusaidia katika maendeleo ya nchi yetu kiuchumi kutokana na elimu tulio ipata katika sehemu mbalimbali.

3.Kuishauri serikali hasa wizara ya elimu katika mambo ya taaluma na mitaala ya kielimu kwa sababu sisi ndio wadau wa elimu.

4.

5....nk mwaweza ongezea na mawazo yenu kama wadau

Twaweza kuanza kwa kuanzisha group la WhatsApp na tukifanikiwa tutaunda hata chagua uongozi na kufahamiana zaidi. Pia Mungu akitujaalia tutalisajili kiserikali ili litambulike kisheria...ila members itabidi tuwe sirious ili tufanikiwe
..Yeyote anakaribishwa kutoa maoni ahsanteni Wakuu
 
Wazo zuri mkuu ila soma kwanza umalize advance ukifika chuo ndio uianzishe rasmi
 
Habari wakuu
Mimi ni mwanafunzi wa advance hapa nchini,nimekuwa member wa jf tangu zamani sana has a katika jukwaa la Elimu. Wazo langu ni kuwa tuanzishe society ambayo itakuwa na members wachache ambao tutatumia ELIMU na AKILI zetu kutatua mambo mbalimbali hasa yanayo husu maendeleo yetu binafsi(kwa sababu Siku zote umoja ni nguvu utengano ni udhaifu)tutakuwa na sheria zetu na taratibu zetu ambazo zitatusaidia katika mambo mbalimbali....malengo ya hii society ni kama yafuatayo:

1.kusaidiana katika harakati za kielimu na fursa zinazopatikana ndani na nje ya elimu.

2.kusaidia katika maendeleo ya nchi yetu kiuchumi kutokana na elimu tulio ipata katika sehemu mbalimbali

3.kuishauri serikali hasa wizara ya elimu katika mambo ya taaluma na mitaala ya kielimu kwa sababu sisi ndio wadau wa elimu

4.

5....nk mwaweza ongezea na mawazo yenu kama wadau

Twaweza kuanza kwa kuanzisha group LA WhatsApp na tukifanikiwa tutaunda hata chagua uongozi na kufahamiana zaidi ..pia Mungu akitu jaalia tuta lisajili kiserikali ili litambulike kisheria...ila members itabidi tuwe sirious ili tufanikiwe
..yeyote anakaribishwa kutoa maoni ahsanteni Wakuu
Itakua gud
 
Hakika ni wazo zuri, unajua jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii vizuri, naomba na mm niwe mmoja wapo kwenye hiyo jamii
 
Wazo zuri ila linahitaji mjadala zaidi hasa kuhusu privacy za watu
 
Back
Top Bottom