Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Leo swali langu linauluza hivi;
Kama ada zinalipwa vyuoni, kwanini ada zisilipwe pia kwa kampuni na taasisi binafsi ili graduates wapate mafunzo na uzoefu wa kazi?
Yaani unakuta mimi Infantry Soldier nimemaliza kusoma taaluma ya Information and Communications Technology pale IFM mwaka 2018.
Badala ya kukaa tu kijiweni nikiwa sina experience ya kazi, kwanini nilisipe ada ya kila mwezi (kiasi fulani cha pesa) kwenye kampuni let's say Vodacom ama Tigo kisha HR manager akanikabidhi kwa Head of Department ya ICT nikawa ninajifunza kazi pamoja na kupata experience plus connections za kujuana na watu?
Kama ada za mafunzo ya theories zinalipwa vyuoni, kwanini ada za mafunzo ya practice zisilipwe kwenye taasisi na kampuni binafsi?
I STAND TO BE CORRECT. NINAPOKEA POSITIVE CHALLENGES AS WELL.
OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
VODACOM WAME COPY "CONSTRUCTIVE IDEA" YANGU. NILIPENI JAMANI.

Hatimaye Vodacom Tanzania wametekeleza "constructive idea" yangu niliyoandika humu JF. They were, at least, supposed to acknowledge my intellect
Hatimaye Vodacom Tanzania wametekeleza "constructive idea" yangu niliyoandika humu JF. They were, at least, supposed to acknowledge my intellectual endeavor. ORIGINAL THREAD HII HAPA NILIIANDIKA OCTOBER 21 MWAKA 2018. Screenshot hapo juu ni user interface ya Vodacom M-pesa. Shikamooni...
www.jamiiforums.com