Uchaguzi 2020 Wazo Langu: Lowasa kuwania urais 2020 kwa mara nyingine

Watoto ni wengi humu jf hadi kero!.

Hawajui kuwa CCM tayari inao utaratibu wake wa ndani, hakuna fomu yoyote ya urais itatolewa kwa mwana CCM yeyote zaidi ya aliyepo.
Jee akitoa photocopy ya original? Maana kusema tuu kuwa nataka! Ukorofi huo unatosha kuwavuruga.
Umejionea kimbembe cha Membe majuzi, watu walivurugana wakati hakukuwa na tamko rasmi lolote toka Kwa Membe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom