mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,704
Mkuu huo utaratibu umewekwa na watu kwa utaratibu wa kumpata mgombea Urais wa ccm 2015 ndio ule? Watanzania sio Wajinga mkuu , Kwani uliamini Lowassa huyu angeweza kubembelezwa na ccm arudi ccm? Unaukumbuka ule wimbo aliyoimbiwa Lowassa dodoma? Unakumbuka hotuba ya Mwenyekiti baada ya kukabidhiwa uongozi Dodoma?Watoto ni wengi humu jf hadi kero!.
Hawajui kuwa CCM tayari inao utaratibu wake wa ndani, hakuna fomu yoyote ya urais itatolewa kwa mwana CCM yeyote zaidi ya the seating one.
P.
Sent using Jamii Forums mobile app