Regnatus Cletus
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,114
- 958
Mambo ni mengi na muda ni kiduchu. Vibweka kila mahali mchana na usiku.
Ndugu Lowasa jana kasema hana nia ya kugombea urais tena, na hivyo tumuunge mkono Rais Magufuli mpaka mwaka 2020 kisha tumchague tena kwa awamu ya pili.
Huyu Eddo akibadilisha gia angani na kuchuana na Magufuli 2020 ni nani atamzuia??
Sina shaka kwamba akithubutu kuchuana na Magufuli CCM watamfyekelea mbali ili apishe njia bulldozer lipite! Lakini who knows, huyu morani alivyo mbishi kama dagaa anaweza kugangamara tu potelea mbali akichinjwa. Hajali.
Kama alisema hataondoka CHADEMA na hatimaye kaondoka, tunawezaje kuamini kuwa hatogombea tena hata kama amesema hatogombea??