Uchaguzi 2020 Wazo Langu: Lowasa kuwania urais 2020 kwa mara nyingine

Regnatus Cletus

JF-Expert Member
May 26, 2018
1,114
958
Mambo ni mengi na muda ni kiduchu. Vibweka kila mahali mchana na usiku.

Ndugu Lowasa jana kasema hana nia ya kugombea urais tena, na hivyo tumuunge mkono Rais Magufuli mpaka mwaka 2020 kisha tumchague tena kwa awamu ya pili.

Huyu Eddo akibadilisha gia angani na kuchuana na Magufuli 2020 ni nani atamzuia??

Sina shaka kwamba akithubutu kuchuana na Magufuli CCM watamfyekelea mbali ili apishe njia bulldozer lipite! Lakini who knows, huyu morani alivyo mbishi kama dagaa anaweza kugangamara tu potelea mbali akichinjwa. Hajali.

Kama alisema hataondoka CHADEMA na hatimaye kaondoka, tunawezaje kuamini kuwa hatogombea tena hata kama amesema hatogombea??
 
Lowassa kurudi ccm ni pigo kwa Jiwe, kwanza hadi sasa Magu kashapotezwa kwenye headlines zote,na ndo maana huwa nasema Magu atakuwa raisi pekee Tz kutawala kwa mhula moja tu
 
Mambo ni mengi na muda ni kiduchu. Vibweka kila mahali mchana na usiku.

Ndugu Lowasa jana kasema hana nia ya kugombea urais tena, na hivyo tumuunge mkono Rais Magufuli mpaka mwaka 2020 kisha tumchague tena kwa awamu ya pili.

Huyu Eddo akibadilisha gia angani na kuchuana na Magufuli 2020 ni nani atamzuia??

Sina shaka kwamba akithubutu kuchuana na Magufuli CCM watamfyekelea mbali ili apishe njia bulldozer lipite! Lakini who knows, huyu morani alivyo mbishi kama dagaa anaweza kugangamara tu potelea mbali akichinjwa. Hajali.

Kama alisema hataondoka CHADEMA na hatimaye kaondoka, tunawezaje kuamini kuwa hatogombea tena hata kama amesema hatogombea??
Tumwamini tu kwamba hatagombea maana kura zake zote, pamoja na yangu, amempa Magufuli. Labda miaka ijayo baada ya Magufuli kustaafu.
 
Watoto ni wengi humu jf hadi kero!.

Hawajui kuwa CCM tayari inao utaratibu wake wa ndani, hakuna fomu yoyote ya urais itatolewa kwa mwana CCM yeyote zaidi ya the seating one.

P.
Sio Kweli🤣🤣lazima NEC ikae na kuchagua tena.na lazima wagombea wapite kila mkoa kukusanya signatures za wanachama.....mpaka kule Ntwara kwenye Korosho....kule Songea,namtumbo na Kilimanjaro....lets wait and see 2020
 
Watoto ni wengi humu jf hadi kero!.

Hawajui kuwa CCM tayari inao utaratibu wake wa ndani, hakuna fomu yoyote ya urais itatolewa kwa mwana CCM yeyote zaidi ya the seating one.

P.
ulichoongea ni sahihi kwa kiasi fulani lakini ukweli ni kwamba mchuano utakuwepo,ila Magu atapitishwa tena,sio kwamba taarifanitatolewa na polepole kuwa chama kimepitisha Jiwe kugombea tena.Lazima mpango ufanywe kwanza na washindani watakuwepo japo wa kuzugia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ni mengi na muda ni kiduchu. Vibweka kila mahali mchana na usiku.

Ndugu Lowasa jana kasema hana nia ya kugombea urais tena, na hivyo tumuunge mkono Rais Magufuli mpaka mwaka 2020 kisha tumchague tena kwa awamu ya pili.

Huyu Eddo akibadilisha gia angani na kuchuana na Magufuli 2020 ni nani atamzuia??

Sina shaka kwamba akithubutu kuchuana na Magufuli CCM watamfyekelea mbali ili apishe njia bulldozer lipite! Lakini who knows, huyu morani alivyo mbishi kama dagaa anaweza kugangamara tu potelea mbali akichinjwa. Hajali.

Kama alisema hataondoka CHADEMA na hatimaye kaondoka, tunawezaje kuamini kuwa hatogombea tena hata kama amesema hatogombea??
2020 NI BENARD KAMILIUS MEMBE !!
 
Back
Top Bottom