Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Nakubaliana na wewe kuwa si sawa. Ila siku hiyo hiyo wakati POLISI wanauwa mtu Iringa, huko Zanzibar Bububu, kulikuwa na FIESTA nyingine ya uchaguzi........
CCM YAENDA KINYUME NA MARUFUKU YA SENSA
JANA polisi walizuia chadema kufanya mikutano Iringa kwa madai wamezuia mikutano ya siasa kupisha zoezi la sensa lakini wakati huohuo CCM Jana imezindua kampeni Zanzibar kama inavyoenekana pichani. Dkt Bilal Azindua Kampeni Za Uchaguzi Mdogo Wa Jimbo La Bububu-Zanzibar.
From: Chadema Blog

Kulinganisha Fiesta na mikutano ya siasa sidhani kama sawa.................mtazamo tu.