Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,057
Wapereke malalamiko yao wapi!!!Hata kama ni unazi huo wa kujifanya kutokunielewa, ni heri. Malalamiko yawepo yasiwepo jinsi wanavyofikisha hayo malalamiko ni kinyume cha Sheria nilizonukuu vifungu vyake.
Narudia, kwa msisitizo, kwamba Vyombo vya Habari siyo mahala sahihi pa kupeleka malalamiko ya Kikatiba au Kisheria. Upinzani wana wanasheria nguri, pia upinzani una wabunge, tena wanaojenga hoja kwa ustadi, inakuwaje hawatumii Mahakama au Bunge?
Gyole na casanova69, nipeni jibu.
1. Bunge ambalo spika anaelekezwa akawatimue wabunge ili Jiwe lipate kuwaponda!!!
2. Mahakama zinazopewa pesa kwa mashrti ya kesi za serikali zishinde??!! .
Kama husukumwi na mahaba utaona viongozi wa upinzani wanavyopita kwenye bonde la mauti chini ya awamu ya safari hii.