Wazo la leo - tumloge jk na mawaziri wake

HAKUNA

Senior Member
Mar 12, 2012
133
66
Nimekuwa nikisikia kuna wachawi (waganga wa kienyeji) au wasoma dua ambao wana uwezo wa kumloga/kumfanya mtu kuwa kichaa au hata kufa kabisa; sasa kama hawa wapo kwanini tusimloge JK na baraza lake la mawaziri ambao wamekuwa wakisumbua akili zetu? Hii itakuwa fundisho kwa viongozi wengine kwamba wakicheza na akili zetu basi tutawatenda vibaya.
 
Back
Top Bottom