Wazo la leo: kuna umuhimu gani wa kujifunika mwavuli ndani ya bwawa la kuogelea?

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79


Wazo la leo: kuna umuhimu gani wa kujifunika mwavuli ndani ya bwawa la kuogelea?
 

Attachments

  • Wazo La Leo.jpg
    Wazo La Leo.jpg
    44.6 KB · Views: 85
kuna umuhimu wa kujifunika kwa sababu ya jua na ili asipate sunburn....labda ni mgonjwa wa kansa ya ngozi
 
Well said!

"Don't count your chickens before they're hatched." Huu ujumbe unawafaa sana ndugu zangu wa CHADEMA wanahesabu kura kwa kuangalia wingi wa watu mikutanoni wakati kuna mambo mengi yanatakiwa kuzingatiwa katika swala zima la kura..............nyie pigeni domo sie ikifika siku tunachukua tunaweka waaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom