Afrika Furaha
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 329
- 9
Jamani wanaJF, natoa wazo kuwepo kwa shindano la kumtafuta JF Star Search aka GREAT THINKER (GT)
Mfano, labda atafutwe kila mwaka au kila baada ya miezi 6. Na vigezo viwe kama
- Katika kipindi cha mwaka mmoja (365 days) kaingia JF mara ngapi
- Na kwa muda huo katoa mchango mara ngapi, kwa ku-reply au ku-post new topic
- Katoa topic za aina gani kusaidia Jamii ielimike/ipate habari
- Katoa lugha za aina gani ktk post na reply zake
Na vigezo vingine vingi kadri itabavyoonekana inafaa. Mshindi atapatikana kwa kuzingatia vigezo 75% na kura za wanaJF 25%, mnaonaje wandugu??? Ma-Moderators mnaipata hii?? Imekaaje?? Ni wazo langu tu . . .