Wazo La Kujenga Taifa

LeoKweli

JF-Expert Member
Apr 23, 2008
335
18
Jamani , Mimi sio Mwanachama wa siku Nyingi wa JF, Lakini tangia nimenza kushiriki ninaona kuna watu wengine Humu wana mawazo very constractive amabyo yanaweza kuijenga nchi yetu.

Ushauri nillionao kuwe na utaratibu wa kutengeneza report ya Wiki ya forum katika mambo mbalimabli yaliyo ongelewa then we can File them as valid contribution from wana forums.

Ninathani watu wanaweza kujitolea kufanya hizi summary , hizi sumary tunaweza kuzitengenea report ya Mwezi amabyo tutachagua mambo ya Muhimu na kufanya petition , amabyo itahitaji saini milioni Moja, then tunaweza kuziproposal hizi petition na kuziandika katika form ya propotion za kuboresha Legistration zetu au policy mbadala.

I am sure brookings Institute haikuanza hivi tu, Bali sisi ndio brookings institute ya Tanzania.

We can afford to let the contributions from this think tank just to go.
 
I have heard all this before.. usipojitokeza wewe mwenyewe kufanya don't count on JF members kufanya kwa pamoja. Believe me, it ain't gonna work. You believe in doing something go do it.
 
Ni kweli kabisa unachoongea, ni jana tu nimeweka post yangu "Ufuatiliaji", nikiwa na maana hii uliyoongelea hapa. Na wajumbe waliokujibu pia wamesema ukweli, sasa inabidi tujikusanye na tuanze hiii shughuli mara moja.
 
Kidatu.. kama una mpango huo neno "tu" liweke nje...


Sijakuelewa Mjj, tafadhali fafanua.

Kwa upande wangu nimesema kwamba jana niliweka posti kama hii ambayo niliita "Ufuatiliaji" wa topics zetu hapa JF kwani maada nyingi zinaishia hewani hatujui hitimisho la maada zetu nyingi.
 
Sijakuelewa Mjj, tafadhali fafanua.

Kwa upande wangu nimesema kwamba jana niliweka posti kama hii ambayo niliita "Ufuatiliaji" wa topics zetu hapa JF kwani maada nyingi zinaishia hewani hatujui hitimisho la maada zetu nyingi.

Kidatu nina maana, kama hilo wazo lako ambalo ni zuri badala ya kufikiria kuna mtu atafanya unachopendekeza wewe mwenyewe fanya. Wiki nzima fuatilia mada muhimu zikopy labda kwenye Word, hasa michango fulani fulani halafu mwisho wa juma kama kurasa mbili, ziweke kwenye Pdf kama unaweza, vinginevyo nitumie nitaziweka kwenye pdf, na wiki inayofuatia tunazirusha kwa watu mbalimbali.

Lakini hilo ni wewe ukitaka kufanya usidhani kuna mtu mwingine atafanya ndiyo maana nasema neno "tu" kama "tufanye hivi" liondoe.. weka neno "ni" kama "nifanye hivi"..

Mwenzio ndio nimejifunza hivyo, what I want to do, I go and do it..
 
Back
Top Bottom