KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

Mathayo Christopher

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
410
283
Ikiwa leo ni siku ya 89 tangu serikali ya Rais Magufuli isitishe ajira 13 Juni 2016 na rais kawaahidi vijana haitazidi miezi miwili na uhalisia kesho tunamaliza miezi mitatu toka zuio la ajira lilipotolewa

Hii imezua sintofahamu ya nini hatima ya vijana hawa ambao wamekaa zaidi ya mwaka mmoja bila ajira na wamepewa kauli zitatoka mapema wawe na subira.JE NI KIPI KIPIMO CHA MAPEMA? Sasa tunaomba wahusika wawe wazi mwezi wa kutoa ajira na si kutoa kauli tata kama mapema ambayo kila mtu hufasiri anavyoelewa.
Natumaini ujumbe umefika
 
P.O.BOX 1923 Dodoma - Tanzania. Tel: 026 232 2848. Fax: Email: ps@tamisemi .go.tz. Website: www.tamisemi.go.tz.
Online Teachers Employment Application System-OTEAS
www.osaistz.com
ONLINE TEACHERS EMPLOYMENT APPLICATION SYSTEM,THIS IS THE COMPUTER SYSTEM FOR MONITORING ... Ajira za ualimu sasa ni za kuomba, wahusika changamkeni muda ni mfupi, na wenye ndugu waarifuni
 
Ikiwa leo ni siku ya 89 tangu serikali ya rais magufuli isitishe ajira 13.june .2016 na rais kawahidi vijana haitazidi miezi miwili na uhalisia kesho tunamaliza miezi mitatu toka zuio la ajira lilipotolewa imezua sintofahamu ya nini hatima ya vijana hawa ambao wamekaa zaidi ya mwaka mmoja bila ajira na wamepewa kauli zitatoka mapema wawe na subira.JE NI KIPI KIPIMO CHA MAPEMA?.sasa tunaomba wahusika wawe wazi mwezi wa kutoa ajira na si kutoa kauli tata kama mapema ambayo kila mtu hufasiri anavyoelewa.natumaini ujumbe umefika
Yaani jitu zima badala ya kujiajiri linafikiria kupata ajira serikalini .
 
kuna mjinga mmoja sijui kala nini yule anamwita Rais wangu baba ubaya.....watu wavumilie mambo mazuri yanakuja chini Rais shupavu JPM...
 
Nasi wakulima tunadhulumiwa mazao yetu na wafanyabiashara ambao hununua mazao hayo kwa bei ya chini kabisa huku serikali ya wanyonge ikikaa kimya bila kuingilia kati ili kutuokoa dhidi ya dhulma hii. Hapa Dumila, ndoo moja ya nyanya yenye ujazo wa lita 20 inanunuliwa kwa sh. 500.
 
Sasa hivi anaelekea bukoba kuangalia athari za tetemeko kuweni na subira
 
Back
Top Bottom