JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 475
Binafsi kama JITU nimekaa chini na kutafakari kuhusu shahada ya ndoa.
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili walioamua kuishi pamoja no matter siku 1, mwezi au miaka kedekede.
Shahada ni kiwango cha elimu anachotunukiwa mtu mara baada ya kusoma shule na kuhitimu.
Utafiti wangu naona ni bora kabla ya kupata bachelor of wedding watu waanze astashahada ya ndoa mwaka mmoja, stashahada ya ndoa miaka miwili kisha shahada ya ndoa miaka mitatu hii ina maana miaka 6 ya uchumba.
Hii imekaaje wadau?
Mimi naona kama shahada ya ndoa imekua ni jipu haiwezekani upate bachelor ya ndoa kiurahisi tu bila kusoma au mnasemaje?hatimae unapewa ndio unaanza chuo ndani mnashindwana ugomvi kila siku
Mchango wako tafadhali.