Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,602
- 5,569
WANAOONA MH. ZK anawakera wahame wampishe ili wasikereke? Kwanini wakereke na vyama viko vingi? je kwanini kama kuna mtu hawamtaki wasimpishe akabaki na chama chake wao wakatokomelea mbali. Kwani chama si kabila, hakuna atakaewalaumu hata mmoja. :angry:
Mara atoke, afukuzwe, hivi nani ana hisa kati yenu ndani ya CDM?:angry:
(bahati yenu kuna neno nimelibana)
Mara atoke, afukuzwe, hivi nani ana hisa kati yenu ndani ya CDM?:angry:
(bahati yenu kuna neno nimelibana)