Wazo: Dodoma ijengwe ziwa la kutengeneza ili watu waburudike na Serikali kuongeza mapato

Geography ya form 1 na 2 hukusoma ndugu embu acha kutia aibu na wazo lako mfu, kwa hiyo huo mfereji utakua na pump za kupandisha maji milimani. Fikiri kabla ya kunena.
Think tank ya Lumumba hiyo Mkuu usishangae. No wonder nchi hii ina mamiradi ya ajabu ajabu ambayo hayana hata tija kwa taifa.
 
mfereji wa suezi una urefu wa km 189 na ushehe, unataka kuniambia km zote hizo 189 zilipita eneo tambarare lisilo na bonde wala kilima?
Iko hivi; Mfereji wa Suez umeunganisha Bahari ya Mediterranean na ile Nyekundu (Red Sea) kama ulivyo ule wa Panama unaounganisha Pacific na Caribbean. So, maji yana-link bahari moja kwenda nyingine ambazo ziko level moja hivyo ni rahisi ku-flow.

Sasa Dodoma ambayo iko 1,120m (1.120km) juu ya uso wa bahari utayapandishaje maji kwa mfereji kama wa Suez ulioutolea mfano? Labda ifungwe pump kubwa ajabu na sio mfereji! Na hata mkifanya hivyo bado itakuwa white elephant project isiyo na tija ya maana kwa taifa ila kwa akili zenu hamshindwi kufanya hivyo!
 
Nina wazo la kushirikiana nanyi ili kuifanya Dodoma kuwa na muonekane kama ulivyo wa jiji la dar es salaam .....
Nini kifanyike?
Serikali inaweza kuchimba mfereji mkubwa kama ule wa suez ili kurahisha kupata maji na kuvutwa kutokea bahari ya hindi dar es sal.....
naamini serikali ikipeleka wazo hili kwa wataalamu wote wanaohusika watakuja na majibu mazuri zaidi.

karlo Mwilapwa
It's good to think big, but how big is another case. Du!
 
Maji ya bahari kwa umwagiliaji? Kwa point kama hizi Mkuu naanza kuhisi una undugu na Jiwe
Halafu ndio hao eti wailewe mikataba ya kimataifa ambayo viongozi wameiridhia ukiwamo ule wa universal declaration of human rights ambao leo unawatesa kweli huku wakisahau walitia saini wenyewe! Magamba akili zao wanazijua wao wenyewe.
 
Akili za mwisho wa mwaka hizi..naona unataka tufanye Kama Dubai..ila nimekusifu angalau umekumbuka kwamba tufanye kazi na tule Bata!
 
Mmepelekwa huko kufanya kazi ama starehe? msalato kuna bwawa mtaenda huko kupiga mbizi na kuvua perege.
 
Wazo zuri. Crazy idea. Lakini binafsi nimelipenda

Napenda kazi Na burudani. Lakini approach iwe cheap, naona wewe njia yako itatuingiza gharama kubwa sana. Utasababisha tufe njaa kabla ya kuliona bwawa lenyewe

Lakini kuweka vivutio hapa dom ni safi sana aisee. Sioni kama wasiofurahia maisha wana Fanya kazi kwa weledi mzuri. Pamoja sana
 
Nina wazo la kushirikiana nanyi ili kuifanya Dodoma kuwa na muonekane kama ulivyo wa jiji la dar es salaam kwa maana iwe na mandhari nzuri za kuvutia kama beach kwa kuwa na kitu kama mfano wa ziwa ama bahari ya kutengeneza ili watu waburudike na serikali iweze kujipatia mapato kupitia sehemu za kujiburudisha na pia itumike kama njia ya kukuza utalii wetu wa ndani

Nimekaa na kutafakari na kuona kuwa kama serikali itaamua basi wazo hili linaweza kufanikiwa.

Nini kifanyike?
Serikali inaweza kuchimba mfereji mkubwa kama ule wa suez ili kurahisha kupata maji na kuvutwa kutokea bahari ya hindi dar es salaam na huo mfereji ujimbwe mpaka Dodoma na ukifika Dodoma serikali itengeneze bwawa kubwa sana mfano wa ziwa ili maji yaishie hapo. Pia serikali ijimbe mfereji mwingine kutokea Dodoma mpaka kwenye chanzo kingine cha maji ili tusiweze kuweka kusanyiko kubwa la maji kwenye hilo bwawa ama ziwa Dodoma.

Pemnbezoni mwa ziwa hilo kuwekwe beach ambazo zitakuwa zinatumika kuingizia kipato nchi kwa sababu ya utalii wa ndani kuongezeka na pia utalii wa nje utaongezeka.

Kwa kuwa mfereji huo utakuwa ni mkubwa sana kwa hiyo unaweza kupitisha hata meli kubwa sana hivyo kurahisisha usafirishaji wa mizigo na hivyo tanzania kuwa kitovu cha usafirishaji kwa nchi za afrika mashariki na kati na hivyo kuongeza mapato.

Wazo hili limekuja baada ya kuona kuwa Dodoma utakuwa makao makuu ya serikali lakini watu watakosa viburudisho vya msingi kama beach za kuogelea na vitu vingine vya kuweka akili sawa.

Na pia itatumika kama njia ya usalama wa kumkinga rais wetu pale nchi inapotokea machafuko na hakuna uwezekano wa kuondoka kwa njia ya anga ama barabara akiwa Dodoma kwa sababu atasafirishwa kwa kutumia nyambizi ndogo ndani ya maji na akifika dare s salaam atatumia usafiri wa meli kutorokea nchi nyingine.

Hili linawezekana na haijalishi ni muda gani ujenzi utafanyika kwa sababu ili kujenga mfereji wa suez ilichukua takribani miaka 10.

naamini serikali ikipeleka wazo hili kwa wataalamu wote wanaohusika watakuja na majibu mazuri zaidi.

karlo Mwilapwa
Unalijua bwawa la mkalama ww..
Pale ni kutanua kidogo tu tayar
 
Mtukufu malaika toka chato kaikimbia bahari kisa kahofia nyambizi za wazungu toka ulaya na Marekani kuja usiku chini kwa chini zikamwangamiza, sasa ukimwambia wachimbe mfereji toka baharini hawezi kukubali kwa sababu bado Wazungu wataweza kupenya humo, na kama wakitaka kutengeneza bwawa watavuta maji toka bwawa la Mtera au kwenye mito mikubwa kama wami nk
 
Huyu anataka kuingiza nchi ingie garama
Wkt wakuu wakitaka kufanya project hyo
Lazima kodi vyanzo vitatafutwa.....
Ili pesa ipatikane
Waende tu hombolo

Ova
Yah mkuu! Hizo gharama zingine tutalazana njaa miaka alfu lela ulela
 
Dodoma maji ya shida?? Mbona wanasema maji ni mengi sana chini ndo haitatokea kuwe na Jengo la grorofa zaidi ya 20
Labda miundombinu ya visima vyakuvuta maji ndo shida
Your right ni kweli water table ipo karibu wakiamua bahari Dodoma yawezekana,lakini wangeanza na kupanda miti kwa wingi,ili wapate misitu mingi midogo dogo kwa eneo lote la central Tanzania.
 
Huyu anataka kuingiza nchi ingie garama
Wkt wakuu wakitaka kufanya project hyo
Lazima kodi vyanzo vitatafutwa.....
Ili pesa ipatikane
Waende tu hombolo

Ova
kama inawezekana gharama isiwe kikwazo, kuna wazalendo wengi watajitolea kulichimba na serikali ikatumia wataalamu wake kuliweka vizuri zaidi hivyo gharama zitapungua.
 
kama inawezekana gharama isiwe kikwazo, kuna wazalendo wengi watajitolea kulichimba na serikali ikatumia wataalamu wake kuliweka vizuri zaidi hivyo gharama zitapungua.
Upotevu wa hela tu
Waende hombolo tu

Ova
 
Back
Top Bottom