dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,124
- 49,384
Think tank ya Lumumba hiyo Mkuu usishangae. No wonder nchi hii ina mamiradi ya ajabu ajabu ambayo hayana hata tija kwa taifa.Geography ya form 1 na 2 hukusoma ndugu embu acha kutia aibu na wazo lako mfu, kwa hiyo huo mfereji utakua na pump za kupandisha maji milimani. Fikiri kabla ya kunena.