Wazo: Dodoma ijengwe ziwa la kutengeneza ili watu waburudike na Serikali kuongeza mapato

Mradi wa kutoa maji ya bahari pwani hadi Dodoma ili watu waogelee, du, dunia nzima itatucheka. Hapo ndio kila mtu ataju tunaongozwa na vichaa, sio utani. Na ni baada ya international airport Chato?
tunaweza pia kuyatibu maji yakatumika kwa umwagiliagi , samaki watakao kuwa wanakatiza juu ya maji itakuwa ni manufaa ya kiuchumi kwa wavuaji, kutengeza beach na sehemu za luxury serikali itapata mapato makubwa sana kwa sababu watu wengi wanapenda starehe, itaongeza utalii wa ndani kwa dodoma
 
Maji ya bahari kwa umwagiliaji? Kwa point kama hizi Mkuu naanza kuhisi una undugu na Jiwe
 
Amekwambia tunaweza pia kuyatibu.. we umeelewaje hapo
MKuu nimeelewa kwamba hana ufahamu kabisa na vitu hivi - pamoja na kujua gharama ya kuyatibu maji ya chumvi. Na pia labda haelewi kwamba ku-pump maji ya chumvi ni challeng ya kutosha, kwa sababu yana chumvi!

Na pia kutibu maji ya chumvi ili yatumike kumwagilia ni sawa na kununua combine harvester ili kuvuna mahindi eka moja.
 
Dodoma maji ya shida?? Mbona wanasema maji ni mengi sana chini ndo haitatokea kuwe na Jengo la grorofa zaidi ya 20
Labda miundombinu ya visima vyakuvuta maji ndo shida

Si kweli. 2017 imejengwa system mpya ya maji na Wachina na presure ya maji ipo juu hata walio milimani maji yanafika bila shida. Ombi kubwa ni kwamba wasifungulie maji kila siku kwa maana mabomba yetu yanapasuka pasuka kwa pesure kubwa.

Over kwenu Dsm tuambieeni...........maji vipi?
 
Hujanielewa tu ni kwamba mimi mwenyewe nilikua nimemshangaa alivyosema dom maji ni shida.. nipo Nkuhungu
 
Wazo lako lnawezekana ila umelitoa katika wrong place, wrong time and wrong people.
 
Nina wazo la kushirikiana nanyi ili kuifanya Dodoma kuwa na muonekane kama ulivyo wa jiji la dar es salaam kwa maana iwe na mandhari nzuri za kuvutia kama beach kwa kuwa na kitu kama mfano wa ziwa ama bahari ya kutengeneza ili watu waburudike na serikali iweze kujipatia mapato kupitia sehemu za kujiburudisha na pia itumike kama njia ya kukuza utalii wetu wa ndani

Nimekaa na kutafakari na kuona kuwa kama serikali itaamua basi wazo hili linaweza kufanikiwa.

Nini kifanyike?
Serikali inaweza kuchimba mfereji mkubwa kama ule wa suez ili kurahisha kupata maji na kuvutwa kutokea bahari ya hindi dar es salaam na huo mfereji ujimbwe mpaka Dodoma na ukifika Dodoma serikali itengeneze bwawa kubwa sana mfano wa ziwa ili maji yaishie hapo. Pia serikali ijimbe mfereji mwingine kutokea Dodoma mpaka kwenye chanzo kingine cha maji ili tusiweze kuweka kusanyiko kubwa la maji kwenye hilo bwawa ama ziwa Dodoma.

Pemnbezoni mwa ziwa hilo kuwekwe beach ambazo zitakuwa zinatumika kuingizia kipato nchi kwa sababu ya utalii wa ndani kuongezeka na pia utalii wa nje utaongezeka.

Kwa kuwa mfereji huo utakuwa ni mkubwa sana kwa hiyo unaweza kupitisha hata meli kubwa sana hivyo kurahisisha usafirishaji wa mizigo na hivyo tanzania kuwa kitovu cha usafirishaji kwa nchi za afrika mashariki na kati na hivyo kuongeza mapato.

Wazo hili limekuja baada ya kuona kuwa Dodoma utakuwa makao makuu ya serikali lakini watu watakosa viburudisho vya msingi kama beach za kuogelea na vitu vingine vya kuweka akili sawa.

Na pia itatumika kama njia ya usalama wa kumkinga rais wetu pale nchi inapotokea machafuko na hakuna uwezekano wa kuondoka kwa njia ya anga ama barabara akiwa Dodoma kwa sababu atasafirishwa kwa kutumia nyambizi ndogo ndani ya maji na akifika dare s salaam atatumia usafiri wa meli kutorokea nchi nyingine.

Hili linawezekana na haijalishi ni muda gani ujenzi utafanyika kwa sababu ili kujenga mfereji wa suez ilichukua takribani miaka 10.

naamini serikali ikipeleka wazo hili kwa wataalamu wote wanaohusika watakuja na majibu mazuri zaidi.

karlo Mwilapwa
Nendeni hpo mkajimwage.....hombolo

Ova
images.jpg
 
Huyu jamaa ni mnazi haswa wa Lumumba! Kwa white elephant projects hamjambo. Eti kutengeneza mfereji kutoka baharini hadi Dodoma; hivi una akili kweli wewe? Yaani maji yapande mlima? Hivi unajua ni kwanini level ya bahari inatumika kama reference point unapozungumzia height hususan geographically? Bure kabisa wewe!
 
Sijui kama uko serious au vipi. Man made lake itawezekana na si jambo geni ila wazo la kuchimba mfereji toka dar kiuchumi si rafiki kabisa.
 
Huyu jamaa ni mnazi haswa wa Lumumba! Kwa white elephant projects hamjambo. Eti kutengeneza mfereji kutoka baharini hadi Dodoma; hivi una akili kweli wewe? Yaani maji yapande mlima? Hivi unajua ni kwanini level ya bahari inatumika kama reference point unapozungumzia height hususan geographically? Bure kabisa wewe!
mfereji wa suezi una urefu wa km 189 na ushehe, unataka kuniambia km zote hizo 189 zilipita eneo tambarare lisilo na bonde wala kilima?
 
dodoma kuna SWASWA (MAJITAKA)
NA NJE YA MJI KUNA ZIWA KULE HOMBOLO MTANUE MJI MUWE MNAENDA BEACH HOMBOLO
 
Back
Top Bottom