Wazo: Aliyeishawishi Serikali kuingia BVR pasipo Feasibility Study awajibishwe

UngaUnga

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,724
1,461
Kwa masikitiko makubwa nashangaa kuona serikari kuingizwa kingi na msanii mmoja tu kwa maslahi binafsi ili tununue bvr kits, inashangaza sn serikari inawezaje kuamua kitu bila kufanya upembuzi yakinifu? nahisi kuna big fish alitumia kura ya turufu kimaslah
 
Asiyependa kuona vyaelea, ni laziama kiroho cha kwatu aanze kuvuruga hata vitu vya msingi. Jamani, nia na lengo ni kurahisisha upatikanaji wa taarifa kulingana na wakati. Watu siku zote wanapenda kwenda mbele na siyo kurudi nyuma. Unapozungumzia sayansi na teknolojia maana yake nini? Usiwe myopic katika issues.
 
Kwa masikitiko makubwa nashangaa kuona serikari kuingizwa kingi na msanii mmoja tu kwa maslahi binafsi ili tununue bvr kits, inashangaza sn serikari inawezaje kuamua kitu bila kufanya upembuzi yakinifu? nahisi kuna big fish alitumia kura ya turufu kimaslah

Fanya kurekebisha ni feasibility
 
Nimeshiriki zoezi hili kama bvr operator mjin morogoro kwa mafanikio makubwa kwa msimamiz wa jimbo binafsi mafanikio yangu ni kupata appreciation certificate na kuumwa spinal cord.moja ya changamoto zilizojitokeza ni maandalizi hafifu sambamba na rasilimali fedha,serikali imewapa hela kidogo tume na hivyo kushindwa kuendesha zoezi kikamilifu.Laiti maandalizi yangefanyika mapema zoez lingenda kwa mafanikio makubwa.Ndugu watanzania tusiwe wagumu wa kupokeo mabadiliko kwani changamoto kwenye mfumo mpya hazikwepeki.Uoga wa mabadiliko imekua destur kwa watanzania hata demokrasia ya vyama vingi hatukutaka kwa sababu nyepesi zoeleka et ingeweza kuleta vita.
 
HAYA NDIYO MADHARA YA RUSHWA SUGU NDANI YA TAIFA LENU,MNA MACHO LAKINI HAMUONI!,
...Toka lini mto ukavuka bahari?
...utajumuika na maji ya bahari na kupoteza kasi yake!
 
Kwa masikitiko makubwa nashangaa kuona serikari kuingizwa kingi na msanii mmoja tu kwa maslahi binafsi ili tununue bvr kits, inashangaza sn serikari inawezaje kuamua kitu bila kufanya upembuzi yakinifu? nahisi kuna big fish alitumia kura ya turufu kimaslah

We UngaUnga, either akili zako za kuunga unga au unatumia kile kitu cha kubwia.
Mashine za BVR ni hatua moja mbele ya mafanikio kuelekea kwenye upigaji kura kihalali, hakuna kupiga (kujiandikisha) kura mara mbili wala wafu nao kupiga kura.
Haya matatizo yanayojitokeza yatarekebishwa kadri muda unavyokwenda; na kumbuka tena changamoto kwenye vitambulisho vya uraia.
 
Hakukuhitaji hata hiyo feasibility study.Ilitaka weledi tu wa viongozi husika.Mashine tulizoletewa ni bomu kama siyo used items basi ni outdated machines.

Ulaji umeikosesha Taifa kupata BVR kits nzuri zanye quality y hali ya juu na kwa bei nafuh zaidi,kama tu ile ofisi kuu isinveingilia mchakato mzima kwa kifikiria asilimia kumi.

Serikali ya Sweeden ilikuwa tayari kutoa BVR kits 15,000 kwa bei nzuri zaidi wLichosema wao ni kwamba watakuja na experts wao na kutrain watu wa kuhudumia kits hizi hivyo ni pamoja na waandikaji!

Viongozi wetu walifikiria 10% na namna gani watoto wao watapata kazi na walifikiria namna gani watazuia watu wengi kujiandikisha na hasa vijana.

Tuwalaumu PM na Mwenyekiti wa Tume ,hawa ndiyo wNatakiwa kutueleza ilikuwaje Zanzibar wana mashine zilizokwenda shule(Quality BVR kits,and brand new) sisi tuwe na z kichina ,underquality na used ifnot second hand.Ni aibu.Jamani kama kuna mzanzibar humu basi ZEC Zanzibar ni ya kupewa Hongera sana sana.

Hongereni ZEC,I wish Lubuva angeiga kwa yule kijana wa ZEC.Nikisema kijana ninamaana umri ni kijana kweli.Hongera sana.
 
Nimeshiriki zoezi hili kama bvr operator mjin morogoro kwa mafanikio makubwa kwa msimamiz wa jimbo binafsi mafanikio yangu ni kupata appreciation certificate na kuumwa spinal cord.moja ya changamoto zilizojitokeza ni maandalizi hafifu sambamba na rasilimali fedha,serikali imewapa hela kidogo tume na hivyo kushindwa kuendesha zoezi kikamilifu.Laiti maandalizi yangefanyika mapema zoez lingenda kwa mafanikio makubwa.Ndugu watanzania tusiwe wagumu wa kupokeo mabadiliko kwani changamoto kwenye mfumo mpya hazikwepeki.Uoga wa mabadiliko imekua destur kwa watanzania hata demokrasia ya vyama vingi hatukutaka kwa sababu nyepesi zoeleka et ingeweza kuleta vita.

Wala hatuna ugumu wa kukubali mabadiliko, ugumu wetu unakuja pale serikali haijajiaanda katika haya madadiliko. kuandikishiana tu kumeleta kizungumkuti, je kupiga kura itakuwaje? Hizo machine pia zitakuwa zinahamishwa na kupelekwa mikoani watu wapige kura? mitigator usiwe na akili za kiccm kulazimisha mambo hata kama hayawezekani. Kiukweli swala la kupiga kura kwa BVR halitowezekana na kufanikiwa kamwe. Ni bora wangetumia mfumo wa zamani halafu hiyo BVR itume 2020
 
Kwa masikitiko makubwa nashangaa kuona serikari kuingizwa kingi na msanii mmoja tu kwa maslahi binafsi ili tununue bvr kits, inashangaza sn serikari inawezaje kuamua kitu bila kufanya upembuzi yakinifu? nahisi kuna big fish alitumia kura ya turufu kimaslah

bvr oyeeee
 
mkuu...unalewa maana ya feasibility kwanza? au umekariri,manake hata kuliandika neno lenyewe huwezi
 
mbona mi naona ni zoezi zuri kabisa kwa ajili ya uchaguzi.tena nadhani serikali inataka kuua ndege wawili kwa jiwe moja kwani bvr inamalizia kuandikisha nchi nzima wakati vitambulisho vya taifa bado mikoa kibao.ile mifinger print yetu ndo itarahisisha kazi ktk kutafuta wahalifu ambao wanashamiri kila kukicha
 
Hakukuhitaji hata hiyo feasibility study.Ilitaka weledi tu wa viongozi husika.Mashine tulizoletewa ni bomu kama siyo used items basi ni outdated machines.

Ulaji umeikosesha Taifa kupata BVR kits nzuri zanye quality y hali ya juu na kwa bei nafuh zaidi,kama tu ile ofisi kuu isinveingilia mchakato mzima kwa kifikiria asilimia kumi.

Serikali ya Sweeden ilikuwa tayari kutoa BVR kits 15,000 kwa bei nzuri zaidi wLichosema wao ni kwamba watakuja na experts wao na kutrain watu wa kuhudumia kits hizi hivyo ni pamoja na waandikaji!

Viongozi wetu walifikiria 10% na namna gani watoto wao watapata kazi na walifikiria namna gani watazuia watu wengi kujiandikisha na hasa vijana.

Tuwalaumu PM na Mwenyekiti wa Tume ,hawa ndiyo wNatakiwa kutueleza ilikuwaje Zanzibar wana mashine zilizokwenda shule(Quality BVR kits,and brand new) sisi tuwe na z kichina ,underquality na used ifnot second hand.Ni aibu.Jamani kama kuna mzanzibar humu basi ZEC Zanzibar ni ya kupewa Hongera sana sana.

Hongereni ZEC,I wish Lubuva angeiga kwa yule kijana wa ZEC.Nikisema kijana ninamaana umri ni kijana kweli.Hongera sana.

Bila Shaka.....kwa machine zile hakutakiwa mtu wa kujua computer kwenye internet cafe ndio awe operator...walitakiwa wazoefu wa IT ndio wangekuwa operators...sijui hata utaratibu wa kuwapata hawa operators ulikuwaje...wengi wao uwezo wa kutumia computer ni mdogo mno...
 
Watu wengi sana hawakuandikishwa kupiga kura kwa sababu ya BVR. Wamenyimwa haki yao ya msingi ya kidemokrasia. Sijui itakuwaje!
 
Hakukuhitaji hata hiyo feasibility study.Ilitaka weledi tu wa viongozi husika.Mashine tulizoletewa ni bomu kama siyo used items basi ni outdated machines.

Ulaji umeikosesha Taifa kupata BVR kits nzuri zanye quality y hali ya juu na kwa bei nafuh zaidi,kama tu ile ofisi kuu isinveingilia mchakato mzima kwa kifikiria asilimia kumi.

Serikali ya Sweeden ilikuwa tayari kutoa BVR kits 15,000 kwa bei nzuri zaidi wLichosema wao ni kwamba watakuja na experts wao na kutrain watu wa kuhudumia kits hizi hivyo ni pamoja na waandikaji!

Viongozi wetu walifikiria 10% na namna gani watoto wao watapata kazi na walifikiria namna gani watazuia watu wengi kujiandikisha na hasa vijana.

Tuwalaumu PM na Mwenyekiti wa Tume ,hawa ndiyo wNatakiwa kutueleza ilikuwaje Zanzibar wana mashine zilizokwenda shule(Quality BVR kits,and brand new) sisi tuwe na z kichina ,underquality na used ifnot second hand.Ni aibu.Jamani kama kuna mzanzibar humu basi ZEC Zanzibar ni ya kupewa Hongera sana sana.

Hongereni ZEC,I wish Lubuva angeiga kwa yule kijana wa ZEC.Nikisema kijana ninamaana umri ni kijana kweli.Hongera sana.

Kazi ya uandikishaji kwenye daftari la kudumu la wapiga kura jijini Dar inaendelea bomba maana walengwa ambao ni watu wenye umri kuanzia watakaofikia miaka 18 ifikapo Oktoba wanaendelea kujiandikisha na kupewa vitambulisho vyao za kupigia kura, changamoto zilizojitokeza zimnaendelea kutatuliwa na watu wanaendelea kumiminika kujiandikisha ili wawe washiriki halali wa maamuzi ya hatima ya Tanzania kuwapata Viongozi. Ndg, kama bado hujaenda kujiandikisha amka nenda kajiandikishe sasa
 
Back
Top Bottom