Waziri Zungu: Mitumba inachafua mazingira

Hajui maisha huyo sio kila mtz ana uwezo wa kushona nguo au kununua nguo mpya,,,,mfyuuuuuuuu
 
Hivi Zungu Anafikiri kwamba huko kijijini nako kuna maduka ya nguo kila kona kama ilivyo Kariakoo?

Ifike mahala viongozi wafikirie kimapana wasifikirie kama wako kwenye chupa kwamba Tanzania nzima iko kama dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka kuturundisha kwenye kuvaa zile fulana zilizoandikwa kaa chonjo saa mbaya
 
Nikushukuru sana Rais kwa kuniamini na kuniteua kuwa Waziri, wakati nakuja Watu waliniuliza utavaa nguo zako za mitumba au utavaa kitu kipya, lakini leo nimetia suti mpya, maana hata hiyo mitumba ni sehemu ya mazingira na ni sehemu ambayo inachafua hadhi ya Nchi yetu.

Rais Magufuli umefanikiwa sana kupiga vita mifuko ya Plastic, lakini sasa mifuko hiyo inarudi kwa njia za pembeni, vifungashio (packages) sasa vinaboreshwa na Watu wanabebea vitu na kuharibu mazingira, watu wa NEMC tuulize kwanini vitu hivi viko mitaani, nitalifanyia kazi.

Kwa Watu wa Wizarani (Muungano na Mazingira) urafiki upo lakini kwenye kazi za Umma hatutofanya urafiki, tukikutana nje ya kazi za Umma tutaendelea na Urafiki wetu.

Amakweli mwenye shibe kamwe hamjui mwenye njaaa sasa tusubiri mapya ya kupiga marufuku mitumba.



Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu masalia ya muhindi sijui mwarabu mchafu huwa anaropokaga tu.

Kumbe ni hulka yake. Maana mwaka huu amekuja na kodi ya simu iongezwe etu ya uzalendo ingali yeye anapata zaidi ya milioni 11 kwa mwezi kama mshahara na marupurupu ukiacha vikao vya bunge ambayo ni 230 K kwa kikao.
 
Huyu masalia ya muhindi sijui mwarabu mchafu huwa anaropokaga tu.

Kumbe ni hulka yake. Maana mwaka huu amekuja na kodi ya simu iongezwe etu ya uzalendo ingali yeye anapata zaidi ya milioni 11 kwa mwezi kama mshahara na marupurupu ukiacha vikao vya bunge ambayo ni 230 K kwa kikao.
Inawezekana sembe ilimuachia makovu kwenye ubongo
 
Back
Top Bottom