Waziri Zungu hata wenzio walianza kwa mbwembwe kama wewe

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Amani iwe nanyi

Nawasalimu wapendwa katika bwana.

Jana nimemsikia Waziri mpya wa mazingira mara baada ya kuapishwa.

Tofauti na jinsi nilivyokuwa namjua kuwa ni mtu mwenye kujali wanyonge kumbe siyo hivyo bhana jamaa jana tu kafungua makucha na kuanza kuonesha kuwa yeye ni mtu wa namna gani.

Kumbuka na tambua kuwa mitumba inalisha zaidi ya watu 15% katika nchi ambao wanategemea kipato chao kutokana na biashara hii.

Na usifikiri kila mtu anakaa Dar. Jaribu kutembea na mikoani uone hali ilivyo. Zunguka zunguka mpaka Kolomije uone jinsi tunavyoishi na jinsi mitumba inavyotusaidia

Lakin mimi nakuambia kuwa wenzio walianza kama wewe na hata zaid yako wewe

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana Watanzania hatuendelei, kwa nini mtu akifanya kazi na kujituma mnaanza. ,,laana” zenu? Kwa hiyo aogope kujituma kisa anaogopa akishindwa utakuja kumcheka na kumwambia kiko wapi, si tulikwambia?
 
Ulichoandika kwenye heading hakifanani na unayemzungumzia ndani. Halafu umeshindwa hata kufanya "quotation" ya alichosema. Vaa viatu vyake kisha fikiria kama wewe ungekuwa Waziri nini ungetamka
Kuanzisha uzi jamii forum ni kitu chepesi sana. Usishangazwe na aina ya mawazo ya uzi huu.
 
Ndo maana Watanzania hatuendelei, kwa nini mtu akifanya kazi na kujituma mnaanza. ,,laana” zenu? Kwa hiyo aogope kujituma kisa anaogopa akishindwa utakuja kumcheka na kumwambia kiko wapi, si tulikwambia?
Mkuu huu ndio upeo wa sisi wabongo. Tunachoweza ni kukosoa tu.
 
Amani iwe nanyi

Nawasalimu wapendwa katika bwana.

Jana nimemsikia Waziri mpya wa mazingira mara baada ya kuapishwa.

Tofauti na jinsi nilivyokuwa namjua kuwa ni mtu mwenye kujali wanyonge kumbe siyo hivyo bhana jamaa jana tu kafungua makucha na kuanza kuonesha kuwa yeye ni mtu wa namna gani.

Kumbuka na tambua kuwa mitumba inalisha zaidi ya watu 15% katika nchi ambao wanategemea kipato chao kutokana na biashara hii.

Na usifikiri kila mtu anakaa Dar. Jaribu kutembea na mikoani uone hali ilivyo. Zunguka zunguka mpaka Kolomije uone jinsi tunavyoishi na jinsi mitumba inavyotusaidia

Lakin mimi nakuambia kuwa wenzio walianza kama wewe na hata zaid yako wewe

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Mheshimiwa zungu ni 'mtoto wa ilala' anaijua sana biashara hiyo na wapiga kura wake wamo kwenye biashara hiyo pia. Ninadhani pengine alikuwa akimaanisha 'trash' ambayo wahindi ambao ndiyo waagizaji wakubwa kwenye biashara hiyo wanatuletea.
 
Kuzuia biashara ya mitumba ni kina kirefu wameshashindwa hata kabla hawajaanza.

Nashauri wasiishie kwenye nguo tu wapige marufuku mpaka magari ya mitumba tuanze kuagiza zero milage, vifaa na mashine za mitumba pia zimulikwe tunataka kutumia brand new product.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimiwa zungu ni 'mtoto wa ilala' anaijua sana biashara hiyo na wapiga kura wake wamo kwenye biashara hiyo pia. Ninadhani pengine alikuwa akimaanisha 'trash' ambayo wahindi ambao ndiyo waagizaji wakubwa kwenye biashara hiyo wanatuletea.
Watoto wake wanaishi wapi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amani iwe nanyi

Nawasalimu wapendwa katika bwana.

Jana nimemsikia Waziri mpya wa mazingira mara baada ya kuapishwa.

Tofauti na jinsi nilivyokuwa namjua kuwa ni mtu mwenye kujali wanyonge kumbe siyo hivyo bhana jamaa jana tu kafungua makucha na kuanza kuonesha kuwa yeye ni mtu wa namna gani.

Kumbuka na tambua kuwa mitumba inalisha zaidi ya watu 15% katika nchi ambao wanategemea kipato chao kutokana na biashara hii.

Na usifikiri kila mtu anakaa Dar. Jaribu kutembea na mikoani uone hali ilivyo. Zunguka zunguka mpaka Kolomije uone jinsi tunavyoishi na jinsi mitumba inavyotusaidia

Lakin mimi nakuambia kuwa wenzio walianza kama wewe na hata zaid yako wewe

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah Semenya afadhali umerudisha avatar Picha yako ya mwanzo
 
Back
Top Bottom