Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 17,895
- 25,944
Amani iwe nanyi
Nawasalimu wapendwa katika bwana.
Jana nimemsikia Waziri mpya wa mazingira mara baada ya kuapishwa.
Tofauti na jinsi nilivyokuwa namjua kuwa ni mtu mwenye kujali wanyonge kumbe siyo hivyo bhana jamaa jana tu kafungua makucha na kuanza kuonesha kuwa yeye ni mtu wa namna gani.
Kumbuka na tambua kuwa mitumba inalisha zaidi ya watu 15% katika nchi ambao wanategemea kipato chao kutokana na biashara hii.
Na usifikiri kila mtu anakaa Dar. Jaribu kutembea na mikoani uone hali ilivyo. Zunguka zunguka mpaka Kolomije uone jinsi tunavyoishi na jinsi mitumba inavyotusaidia
Lakin mimi nakuambia kuwa wenzio walianza kama wewe na hata zaid yako wewe
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app