Waziri WENJE atoa tamko hali ya kisiasa Uganda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri WENJE atoa tamko hali ya kisiasa Uganda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chanya, May 19, 2011.

 1. C

  Chanya Senior Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waziri kivuli kutoka wa mambn ya nje na ushirikiano wa kimataifa Ezekiel Wenje ametoa tamko kwa niaba ya kambi ya upinzani nchini akilaani bugudha anazopata kiongozi wa upinzani nchini uganda Dr Kiiza Besigye kutoka kwa serikali ya Uganda aidha amesema wanasikitishwa na hali hiyo na kusema ni ukosefu wa demokrasia nchini humo source HABARI RFA
   
 2. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nashauri Chadema ikaandamane Uganda na kumzomea Mseveni hadi kieleweke!
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nashauri cdm wakaandamane uganda
   
 4. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Tanzania isijifiche chini ya kivuli cha EAC. Huko nyuma tumewahi kuvunja uhusiano na Uganda kwa sababu ya utawala wa kibabe wa Amin na mauaji ya raia wengi chini ya utawala ule. Mazingira ya Uganda leo hii si tofauti na yale ya wakati ule chini ya Amin. Museveni amelazimisha waganda kutawaliwa na wanyarwanda (yeye mwenyewe, Kagame, Nkunda nk) ambao baadhi baada ya kutoka huko wameendelea kuzivuruga nchi zingine. Museveni, kwa kisingizio cha kuzima waasi, ameua raia wake wengi pengine kuliko hata wale waliouwawa na Amin.

  Katika hali ya kawaida tungeitaka serikali yetu japo ikemee tu vitendo vinavyofanywa na serikali ya dikteta Yoweri. Tatizo ni kuwa serikali yetu nayo ina boriti jichoni.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  Lakini ujumbe si umefika mkuu?Acheni mambo yenu.
   
 6. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Kweli nakuunga mkono
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mzee umesema vyema sana lakini siku zile tulikuwa na watawala walio jali . Leo hii chini ya JK na CCM yake wanatamani kuwa kama Uganda maana wanadhani Mungu aliwapa Tanzania wao pekee waitawale . Hatuna mtu wa kukumbuka haya na JK hana uwezo wa kuyaona haya na hawezi kumpa hata ushauri Museveni kwa hata kura iliyopita yeye kabebwa kuwa Rais kwa kipindi cha pili kwa wizi wa kura
   
 8. C

  Chanya Senior Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona kama wakongwe wa siasa za East Africa wamechokwa na raia tumekata tamaa nao MU7 kampa uwaziri mkewe JK na machizi wake wezi bora tuanze ya tarime tughechane mura kwani uni ni mukangi? Ni maghena tu na besigye aige
   
Loading...