Waziri Wassira: Sina tuhuma za ufisadi

Wana Jf
Leo nilikua Wizara ya Kilimo na Chakula Idara ya Uhasibu katika mambo ya ambayo nimesikitika ni uzembe na Ufisadi wa waziri huyu akiwa katika serekali ya Awamu ya Nne .

Wazira wasira akiwa waziri Mwaka jana mwezi 4 alitakiwa kwenda mwanza kufungua kikao cha BODI ya Pamba jamaa akakatiwa Tiketi ya Ndege Precision jamaa akalala akapitiliza matokeo yake wizara ikabidi Imkodishie Ndege ndogo wizara ikaamua kumkodishia Single engine small flight akagoma wizara ilikua ilipe Dola 8000 kwa safari hiyo kwa aina hiyo ya Ndege.

Waziri akalazimisha akodishiwe Ndege ndogo yenye Engine mbili kwa Gharama ya Dola 13,000 hii ni fedha za walipa Kodi pia Waiting Charge na Gharama za kurudi. Ambazo kwa ujumla wizara ililipa Jumla ya Dola 19,870.

Tukio la Pili ni Ufisadi wa Ununuzi wa Gari ya wizara. Mwaka Jana (2010) mwezi Juni alinunuliwa Gari VX V8 ambayo ilikuwa haina Friji ndani kwa Gharama ya Milioni 250 akalikataa akataka zuri zaidi lenye madoido akataka la Thamani ya milioni 350 likaletwa mwezi September ambalo alilitumia kwa miezi 2 kabla ya uchaguzi.

Tukio la Tatu ni Kuibeba Kampuni inayoitwa SIMON GROUP kampuni hii ilipewa Miradi yote ya Kusambaza na Kuchukua Vyakula kutoka SGR za serekali bila kutangaza Tenda, Miradi hii Mwaka Jana Peke yake walipewa Miradi Ifuatayo. SONGEA 23.5bn, Iringa 19.2bn, Rukwa 39.5bn lakini pia ikumbukwe kampuni hii ndio iliyopewa kinyemela UDA kwa bei ya KUTUPA, kampuni hii ndio iliyonunua NYUMBA ya Familia ya MARIALE kwa 1bn masaki kampuni hii ilipewa Mradi mkubwa wa kuingiza Matrekta ambayo halmashauri zimelazimishwa kununua Matreka ya aina ya POWER TILER ambayo hayana uwezo wa kufanya kazi na mengi yamekwama. TUJIULIZE SIMON GROUP NANI YUPO NYUMA YA HII KAMPUNI?

Wana JF nimeleta uchafuu huu tuujadili na tuangalie huy wasira ambae anafanya kazi kwa karibu na MKULU.

It make sense.
 
Anataka URAIS. Hili amelisema mara kadhaa kwa watu wake wa karibu. Na kura za juzi mkutano mkuu wa CCM ndio zimemtia kiwewe kabisa. Anajiona kwa sasa ndie bora kabisa CCM. Alikuwa hamtaji Mwalimu tangu alipoangushwa na Warioba mahakamani kwenye ile kesi ya uchaguzi.
By agao kichore:
wassira ni mtu wa propaganda. Ni miongoni mwa wanasiasa wa siku nyingi aliyepitia
hatua mbalimbali na bado mpaka leo yupo. Sifikirii mtu kama edo au hata jk anaweza
akawa na safari ya siasa kama wassira. Wassira utumika sana sehemu zile ngumu ambazo
watu wanazomewa na ccm haikubaliki kweli kweli. Kwa ccm ni jembe lao na ndo maana
kapata kura nyingi kama mjumbe wa nec. Wassira haitaji kujenga makundi ili kuwa
kiongozi bali ni miongoni mwa wanasiasa wachache ambao wanaconvincing power kubwa.
Yeye anaitaji kupata muda tu. Ikumbukwe yupo katika orodha ya watu walioanzisha cdm
na pia amewahi kushinda ubunge kupitia nccr akimshinda warioba kabla ya kuzuiwa na
mahakama na kisha kulitwaa tena jimbo kupitia ccm. Ikumbukwe jina lake la utani ni
tyson hivyo ni mtu wa kuogopwa sana. Wakati viongozi wa serikali ya ccm walipokuwa
wakizomewa ni wassira ndiye aliyekuwa na uwezo wa kuingia maeneo hayo na kuwapa watu
nafasi ya kuuliza maswali. Believe it, pamoja na fedha na makundi endapo wassira
atasimama na viongozi wengine kuwania urais itakuwa shughuli pevu.
Mkoani mara wassira amepoteza ushawishi kwa wananchi si kama yeye bali kama ccm
lakini atakapo simama anautaka urais siasa ya kanda ya ziwa itakuwa ngumu sana kwa
cdm. Kwa kutambua uwezo wake nilijaribu kuangalia cv yake, ni mtu aliyesoma vyema na
kupata elimu bora, na pia ametumika toka awamu ya kwanza mpaka leo. Kama nia ni kuwa
na uchaguzi wa kuelekea kwa wapinzani heri membe, el, na wengineo na si wassira.
Sababu ccm ni dhoofu, si moja kwa wagombea hao wengine lakini ni moja kupitia
wassira. Wassira is a heavy weight politician currently in ccm compare to the rest.
Do not underate him.
 
Fact checker has detect ukanjanja with this reporting..1st, its try to level allegations of misuse of funds with ridiculing Wasira as someone who sleeps all the time "jamaa akalala akapitiliza akaachwa na ndege....it maybe comical but it doesnt apprear credible.

Simon group of companies is run by Mr. Robert kisena, the same company that bought UDA and is doing many businesses transportation, cotton ginning...unless you haven't participated in TZ tender process my friend, there is a Procurement Management Unit (PMU) and a Tender board, as minister you dont give out tenders that easily ...unless you honestly believe he is a shareholder of Simon group, which is highly unlikely the company has been around for years. Did it perform?

Rumors is not News, eti VX Haina friji na madoido...Guys are just disrespectful, i know we're tired but this post is simply ridiculous to be taken serious as him missing a flight..Come across as if its not news worth

Ohh gosh, I am afraid you don't know Tz that well. To hell is PMU or tender board in a country where leaders are well above the law. Richmond and recently Tanesco tenders went through without due processes of the so called PMU or tender board. If you really want to defend Wasira you might want to come up with something different.
 
Nani anajua namna Wassira alivyotoka CCM na namna alivyorudi kwa njia ya wanamtandao?
 
ohh gosh, i am afraid you don't know tz that well. To hell is pmu or tender board in a country where leaders are well above the law. Richmond and recently tanesco tenders went through without due processes of the so called pmu or tender board. If you really want to defend wasira you might want to come up with something different.

simon group iko connected.period! Wasira is from the school of nyerere, blended with the new school but for sure, he wouldnt of survived this long if he was unethical..he probably did more for the ministry of agriculture especially the korosho crop...since he left things have fallen, ona waziri chiza had a hard time in mtwara...linda & mtwara ccm members voted for wasira crying the days he helped them & even suspended licences za wanunuzi wa Korosho walipogoma bei ya serikali..Simon group =/= wasira
 
Asidanganye watu, huyu ni bingwa wa rushwa. Kuna wakati aligombea ubunge akishindana na Warioba. Alishinda lakini ushindi wake ukatenguliwa kwa sababu ilionekana alishinda kwa rushwa! Hatujasahau!!
Kama nakumbuka vizuri ni kuwa mahakama ilimzuia asigombee tena kwa miaka mitano kwa kosa la matumizi ya rushwa. Hayo liyosema kuhusu rushwa awaambie haohao wenye akili za samaki (wana CCM) kama alivyosema Karume
 
Kama nakumbuka vizuri ni kuwa mahakama ilimzuia asigombee tena kwa miaka mitano kwa kosa la matumizi ya rushwa. Hayo liyosema kuhusu rushwa awaambie haohao wenye akili za samaki (wana CCM) kama alivyosema Karume

Basi hata ushindi wa Godbless Lema umetenguliwa sababu alishinda kwa rushwa pia?Chakaza, kama umri wako unakuruhusu au utakumbuka alikuwa NCCR-MAGEUZI...ukweli ukiwa kichomi alafu uko upinzani Jimbo linawezatenguliwa kwa ki memo au sababu zozote na ukafungiwa...FACT CHECK: Jaji wa kesi ile Marehemu alikiri baada ya hukumu ya ile...Siasa mchezo mchafu usipime
 
linda & mtwara ccm members voted for wasira crying the days he helped them & even suspended licences za wanunuzi wa Korosho walipogoma bei ya serikali..Simon group =/= wasira

Someone must had lied to you or you have decided to be in favor of Wasira at his face value. Wasira corrupted Hawa Ghasia and Mathias Chikawe to get votes for Mtwara and Lindi, respectively. Knowing this last week Mtwara people booed Ghasia during her speech in Mtwara and promissed to kick her out of the parliament if she tries to defend her parliamentary position.

You can't talk about Wasira's victory in Lindi and Mtwara without involving Ghasia and Chikawe; neither can you talk about corruption in Mtwara without mentioning Ghasia, who owns 1/16 of land plots downtown Mtwara. So I don't know how one can actually exclude Wasira from the list of NEC members who won via corruption. I just don't.
 
someone must had lied to you or you have decided to be in favor of wasira at his face value. Wasira corrupted hawa ghasia and mathias chikawe to get votes for mtwara and lindi, respectively. Knowing this last week mtwara people booed ghasia during her speech in mtwara and promissed to kick her out of the parliament if she tries to defend her parliamentary position.

You can't talk about wasira's victory in lindi and mtwara without involving ghasia and chikawe; neither can you talk about corruption in mtwara without mentioning ghasia, who owns 1/16 of land plots downtown mtwara. So i don't know how one can actually exclude wasira from the list of nec members who won via corruption. I just don't.


Chikawe lost NEC to a 23 yr old member, why would he want to corrupt a looser to win Lindi? Just doesnt make any sense
 
NAAMINI AKISEMA YEYE SIO FISADI SINA SABABU YA KUAMINI OTHERWISE UNTIL PROVEN OTHERWISE.

Wakati yupo wizara ya maji alijikatia fungu la pesa kupeleka maji huko kwao. Kashfa iliyopelekea abadilishwe wizara
 
Chikawe lost NEC to a 23 yr old member, why would he want to corrupt a looser to win Lindi? Just doesnt make any sense

I think you choose to get it wrong to validate your point. Chikawe did not lose popularitty and influence as minister, did he? The insiders have it that Chikawe attributed his defeat to Membe's influence and therefore [Chikawe] chose to project his anger by runing anti-Membe crusade alongside Ghasia in Mtwara and Lindi. All in all Chikawe is still popular and at large politically in Nachingwea and Lindi.
 
Ukimsoma katikati ya maneno yake kama kilichoandikwa ndicho alichokisema, anakiri kuwa CCM imeoza kwa rushwa, if that is the case watu makini wanajua na wanasema rushwa ya ndani ya CCM ni matokeo tu...je amefanya nini zaidi kuhakikisha hiyo hali inakoma.

Anayo kazi ngumu kuwaghilibu watu makini kuwa yeye Wassira si Chichidodo.
 
Ukimsoma katikati ya maneno yake kama kilichoandikwa ndicho alichokisema, anakiri kuwa CCM imeoza kwa rushwa, if that is the case watu makini wanajua na wanasema rushwa ya ndani ya CCM ni matokeo tu...je amefanya nini zaidi kuhakikisha hiyo hali inakoma.

Anayo kazi ngumu kuwaghilibu watu makini kuwa yeye Wassira si Chichidodo.
Wasira amelisema katika dk 45 kuwa tatizo lipo ila Padri akizini haufungi kanisa, akikiri rushwa ipo ndani ya Chama na linashughulikiwa kama chama na juzi Mangula kama Makamu Mwenyekiti naye alisema aliyeshinda kwa njia ya rushwa matokeo yatatenguliwa pindi itakapothibitika kwamba ushindi ulipatikana kwa njia hiyo.

Aliendelea kusema hii haitakuwa mara ya kwanza wanatengua matokeo ilishapata kutokea hapo nyuma.

Mfano, chama kiliwahi kutengua matokeo ya uchaguzi mwaka 2000, walipoengua wagombea 32 waliokuwa wameongoza kwenye kura za maoni.
 
I think you choose to get it wrong to validate your point. Chikawe did not lose popularitty and influence as minister, did he? The insiders have it that Chikawe attributed his defeat to Membe's influence and therefore [Chikawe] chose to project his anger by runing anti-Membe crusade alongside Ghasia in Mtwara and Lindi. All in all Chikawe is still popular and at large politically in Nachingwea and Lindi.
Kaka unalazimisha tuamini Wasira ni "anti-membe crusader" like Lowassa?...Tusijazane ujinga kuwa TZ hii hafahamiki mikoa ile bila au lazima kupitia Mawaziri hao...Au wao kuwa ktk Cabinet ndio lazima wamsaidie apate kura za huko? Mbona Membe na Chikawe wote ni Mawaziri ila wanafanyiana fitina.

I didnt say Chikawe isnt popular(I said he lost), you're forcing us to believe his vote are somehow illegitimate & he corrupted the two Ministers part of your allege 700M to Win NEC? if Chikawe & Ghasia voted for their collegue thats great, but FACT CHECKER believes you dont have the right facts correct..anti membe, chikawe anger, ghasia na viwanja, 700M NEC budget, you're allover the map bro
 
kaskusini

Kama unafutilia historia utajua wasira ni mzindaki mwaka 1995 alipokuwa nccr hakuwa sema akirudi ccm atakuwa maiti? je leo hii unzungumzia kibwengo?huyu hasitaili kuaminiwa labda kwa huyo aliye mwita tyson kwa kumpiga Ndolanga
 
Last edited by a moderator:
kama unafutilia historia utajua wasira ni mzindaki mwaka 1995 alipokuwa nccr hakuwa sema akirudi ccm atakuwa maiti? Je leo hii unzungumzia kibwengo?huyu hasitaili kuaminiwa labda kwa huyo aliye mwita tyson kwa kumpiga ndolanga


Tyson alijiita mwenyewe baada ya kumwangusha Waziri Mkuu Mstaafu Warioba kwao ktk uchaguzi bunda wakati Bondia Mike Tyson ametoka jela 1995...Wasira ktk interview alifunguka kuhusu jina hilo hata yeye alisema alikuwa anamka usiku kuona mapambano live itv ya tyson, ikawa utani wa kisiasa

Nccr-mageuzi najua ilitangulizwa mbele ya haki na mabere nyaucho marando ..choice was back 2 CCM or TLP amfuate Lyatonga Mrema, which was unlikely, na akina Joseph Selasini sasa ni CDM ubunge Rombo walikuwa NCCR-Mageuzi kabla ya akina Kafulila na Machali!
 
Kila KIONGOZI wa CCM si MTU wa RUSHWA... Wanachota PESA sababu ni za CHAMA
 
Wassira asante kuthibitisha kwamba CCM wananunuana. Asante, unaweza kurudi porini au unataka Mzee Kinana Akusindikize? Hapana hatumtaki huko Faru na Tembo watapotea


Akihutubia wananchi wakati wa mikutano ya hadhara kwa nyakati tofauti, baada ya kupokelewa na wana CCM wilayani Bunda, Waziri Wassira alitamba katika uchaguzi huo hakununua mjumbe hata mmoja.

Wassira ambaye pia ni mbunge wa Bunda, alisema kamwe hata kama angekuwa na fedha asingeweza kufanya hivyo, kwani mafundisho ya Mwalimu Nyerere yanambana.

Alisema kiongozi yeyote, anayechaguliwa kwa kununua wananchi, hawezi kuwatumikia ipasavyo na wala hawezi kuwajibika kwao.
 
Stephen Wasira

From Wikipedia, the free encyclopedia


Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian politician.
Wasira served as Deputy Minister of Agriculture in the first phase Government under President Julius Nyerere and also served as the Deputy Minister for Local Government and later as the Minister of Agriculture and Livestock Development under second phase President Ali Hassan Mwinyi.

He was appointed as Minister of Water on January 4, 2006, when Jakaya Kikwete, who had been elected President, named his new cabinet. He was then moved to the position of Minister for Agriculture, Food Security and Cooperatives on October 15, 2006, and on February 12, 2008 he was named Minister in the Prime Minister's Office for Regional Administration and Local Government. On November 24, 2010, Mr. Wasira was names Minister of State President's Office in charge of Social relations and Coordination in the newly formed cabinet after October 2010 elections

Education



Positions .


  • Member of Parliament - Mwibara Constituency 1970 - 1975
  • Deputy Minister of Agriculture 1972 - 1975
  • Regional Commissioner Mara Region 1975 - 1982
  • Minister Counselor at the Embassy of Tanzania, Washington, DC, USA - 1982 - 1985
  • Member of Parliament - Bunda Constituency 1985 - 1990
  • Deputy Minister for Local Government 1987 - 1989
  • Minister of Agriculture and Livestock Development 1989 - 1990
  • Regional Commissioner Coastal Region 1990 - 1991
  • Member of Parliament - Bunda Constituency 1995 - 1996
  • Member of Parliament - Bunda Constituency 2005–Present
  • Minister for Water - January 2006 - October 2006
  • Minister of Agriculture, Food Security and Cooperatives - October 2006 - February 2008
  • Minister in the Prime Minister's Office for Regional Administration and Local Government - February 2008 - May 2008
  • Minister of Agriculture, Food Security and Cooperatives May 2008–2010
  • Minister of State President's Office in charge of Social relations and Government Planning Coordination November 2010 – Present


CV YAKE INAONYESHA NI EXPERIENCED NA HIVI YUPO TODAY (KAPATIA KITU FULANI), ELIMU YAKE NA CONVICTIONS ZINAONEKANA TANZANIA LEO SABABU THERE IS A CRY FOR GOOD LEADERSHIP VIJANA WAZEE KUNA OMBWE WE NEED MABADILIKO NA UADILIFU..SIJASIKIA KASHFA YA UKWELI ZAIDI YA POROJO AU WIZI WA TAIRI MIAKA ILE " I THINK ILI ZUSHWA NA MAHASIMU WAKE CDM"..

NYERERE LOVED WASIRA AKAMPA NAFASI, KATIKA VIONGOZI VILAZA WA SASA HUYU KIDOGO BADO ANAONEKANA ANAIPENDA NCHI, NAAMINI AKISEMA YEYE SIO FISADI SINA SABABU YA KUAMINI OTHERWISE UNTIL PROVEN OTHERWISE.
umesahau cv yake ya kuhamia upinzani kipindi flani, na kufulia mpaka the beautiful one alipomkumbuka juzi kati au alikuambia usifunguke kuhusu hilo? any way hongera kwa kumpigia debe ingawa kauli zake ni chapwa
 
Back
Top Bottom