Waziri wangu mwigulu vijana tunasubiri nafasi wizara ya mambo ya ndani

ngurutu

Member
Mar 31, 2017
54
50
Moja kati ya wizara ambayo inatoa nafasi za kazi kwa idadi kubwa ni pamoja na wizara yako nasihivyo tu wizara yako nikimbilio kwa vijana wa kimaskini hasa kazi za majeshi,pia wizara yako inavitengo vingi sana na idara nyngi sana ambazo zinatoa machagua ya kutosha kwa vijana wa kitanzania
1.jeshi la polisi
2.jeshi la zimamoto na uokoaji
3.idara ya uhamiaji
4.auxiliay police
5.magereza
Toka mwaka jana(2016) ndio depo ya mwisho kufanyika ccp hasa kwa askari polisi na uhamiaji nitkrbn mwaka bila hzi ajira kutangazwa
Mh mwigulu hzi nafasi ni muhmu sana kwetu maana ndio mkombozi,hasa kwa sisi wakina baba kabwela....kazi njema nothing than I presume Hon Mwigulu
 
Kama waliopo wanatosheleza hamna haja yakuajiri wengine.....serikali hii logic!....
 
Moja kati ya wizara ambayo inatoa nafasi za kazi kwa idadi kubwa ni pamoja na wizara yako nasihivyo tu wizara yako nikimbilio kwa vijana wa kimaskini hasa kazi za majeshi,pia wizara yako inavitengo vingi sana na idara nyngi sana ambazo zinatoa machagua ya kutosha kwa vijana wa kitanzania
1.jeshi la polisi
2.jeshi la zimamoto na uokoaji
3.idara ya uhamiaji
4.auxiliay police
5.magereza
Toka mwaka jana(2016) ndio depo ya mwisho kufanyika ccp hasa kwa askari polisi na uhamiaji nitkrbn mwaka bila hzi ajira kutangazwa
Mh mwigulu hzi nafasi ni muhmu sana kwetu maana ndio mkombozi,hasa kwa sisi wakina baba kabwela....kazi njema nothing than I presume Hon Mwigulu
Mamaeee ngurutu relax mpaka mwaka2019
 
Jamani hapana, Polisi wasiongezwe wengine.
Waliopo tu tumechokanao,tena Mwiguli asithubutu.
Polisi wamekua Adui wa wananchi ivi!,bado mnataka muongezeke?
 
Moja kati ya wizara ambayo inatoa nafasi za kazi kwa idadi kubwa ni pamoja na wizara yako nasihivyo tu wizara yako nikimbilio kwa vijana wa kimaskini hasa kazi za majeshi,pia wizara yako inavitengo vingi sana na idara nyngi sana ambazo zinatoa machagua ya kutosha kwa vijana wa kitanzania
1.jeshi la polisi
2.jeshi la zimamoto na uokoaji
3.idara ya uhamiaji
4.auxiliay police
5.magereza
Toka mwaka jana(2016) ndio depo ya mwisho kufanyika ccp hasa kwa askari polisi na uhamiaji nitkrbn mwaka bila hzi ajira kutangazwa
Mh mwigulu hzi nafasi ni muhmu sana kwetu maana ndio mkombozi,hasa kwa sisi wakina baba kabwela....kazi njema nothing than I presume Hon Mwigulu
duu inamaana CCP hakuna watu mafunzon kwa kipind chote hicho?
 
Je,tunahitaji polisi wengine kwa sasa?
Kuna kamanda mmoja wa polisi alisema polisi waliopo hta wakikatwa vpnde hawatoshi ,ni wachache kulinganisha na mahtj ,kumbka kuna wanao staf,kufariki na matatzo mengne so hii haitaji ramli polisi ni wachache sana
 
Huu ni mwaka 2018 sasa miaka miwili bila nafasi za polisi na idara zake kunani wizara ya mambo yandni ukimya huu unatutisha watoto wa mbwa ambao tunategemea hizi kazi
 
Back
Top Bottom