Waziri wa zamani, Profesa Juma Kapuya afunga ndoa na binti wa miaka 25

hicho. kizazi kimoja ni miaka mingapi?
.
Wala usiwaze sana. Kuna kizazi cha vitukuu, kizazi cha wajukuu, kizazi cha watoto, kizazi cha parent, kizazi cha grandparents, nk. Kila seti ya rika inacho kitu tunakiita "common lifespan." Kwa mfano, hakuna common lifespan kati ya mtu na mtoto wake, mtu na mjukuu wake, mtu na kitukuu wake, n.k. Dhana hii ndiyo inaruhusu ndoa kuitwa "parenting organism", vinginevyo maana ya ndoa inakufa! Profesa wetu anayo mengi anayajua kuhusu hili, lakini sasa ndio hivyo. Katika mtazamo wa ujasiriadola, swali kubwa zaidi ni hili: Je, sera ya Taifa kuhusu nafasi ya ndoa na familia katika nchi inasemaje kuhusu trans-generational marriages kati ya mtu na mjkuu wake, mtu na kitukuu wake, n.k.? Huenda kuna ombwe la kisera hapo....
 
Katika mtazamo wa ujasiriadola, swali kubwa zaidi ni hili: Je, sera ya Taifa kuhusu nafasi ya ndoa na familia katika nchi inasemaje kuhusu trans-generational marriages kati ya mtu na mjkuu wake, mtu na kitukuu wake, n.k.? Huenda kuna ombwe la kisera hapo....
ombwe lazima liwepo kwani,hata hao watunga sera asilimia fulani ya kutosha tu,nao ama wana hamu na dogodogo au wataishia na wao kuja kujihumuiza na wajukuu sooner or letter.Kama alivyosema mdau mmoja kuwa,''nyege hazijawahi kumwacha mtu salama",hili ombwe linaachwa makusudi nahisi... Na si ajabu wahenga kama hao,waliotangulia, walishazuia haya kwa wadau ili 'liwe pending until...'...si ajabu kuna watakaokuwa wahenga humu humu ndani ya forum (kama bado).wataelewa umuhimu wa hilo ombwe hapo mbeleni-sasa hivi uhalali na raha ya ujana inatoa nguvu ya kusimanga wazee wakichovya kwenye fungu la vijana....Hivyo kwa sasa tuwe wapole tu,ilimradi kuna makubaliano,uhiyari na kutovunja sheria,ila 'kutomasa' kidogo maadili! kama ni hiyari yao,na sheria inaruhusu,acha wafuraahie maisha ya ndoa.Lakini kama ndio hali ya umaskini wetu huu hata binti alazimika kwenda kujining'iniza kwenye mgomba wa zamani ili maisha yaende,inahuzunisha sana na hatupaswi kumsema sana vibaya huyu binti.Vijana ndio hao,wengi ni mitambo ya kuzalisha single-parents katika familia,wengine shughuli hamna,wengine kutunza tu mke shida,na wengine,licha ya hayo mapungufu yoote na mengineyo,bado pia inapokuja suala la ndoa,huponyoka na kukurupuka kama katangaziwa vita vya ghafla au bomu limelipuka.Wanawake ni wengi.Wale ambao ni 'ruksa' kuoa wanawake wengi,vema wasaidie tu, maana,binti aweza zeekea nje ya ndoa kwa kudhani asubiri kijana mwenzake au walao mtu mzima kumbe ndio hivyo tena...
 
Haishangazi katika UISLAM

Profesa Juma Kapuya ni Muislam

Hata Mtume Muhammad (S.A.W) alimuoa mtoto wa miaka 9.

Sembuse Mzee Muislam wa miaka 74 kumuoa mtoto wa Miaka 25???


Ni ajabu kwenu Makafiri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio CCM hiyo Mkuu

Ndio Profesa wa Bongo huyo.
Wale wote waliokuwa wanamuulizia Kiongozi wao wa zamani mahali aliko na anavyoendelea basi sasa bila shaka kiu yao itakwisha

Kiufupi ni kwamba mkubwa anaendelea vema tu na wala hana wasiwasi na jana amefunga ndoa na binti wa miaka 25


View attachment 1025229



Ndoa hiyo imefungwa Wilayani Urambo Mkoani Tabora siku ya jana tarehe 17 Februari, 2019

Profesa Kapuya aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Urambo Magharibi na Waziri kwenye Wizara Mbalimbali kwa miaka tofauti, alizaliwa Juni 22, 1945

Katika kudhihirisha usemi wa 'mapenzi hayachagui umri' inadaiwa kuwa binti aliyeolewa na Profesa Kapuya ana umri wa miaka 25

Mbali na kufahamika kupitia uwanja wa siasa Procesa Kapuya pia aliwahi kuwa Mkufunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)

Ikumbukwe kuwa mwaka 2013 Profesa Kapua aliingia katika matata baada ya kukumbwa na kashfa ya kumbaka binti wa miaka 16 aliyekuwa anamsomesha

Katika kujaribu kudhibiti mtoto huyo aliyedai alibakwa na Prof Kapuya na kuambukiwa virusi vya ukimwi, Mwanasiasa huyo alitoa vitisho vya kumuua binti huyo na kujiua kama njia ya kuepuka dhahama inayoelekea kumkabili.

=====

Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi - JamiiForums


Ukweli kuhusu CCM kumbeba Kapuya dhida ya Ubakaji alioufanya, huu hapa... - JamiiForums


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wa miaka 74 kumuoa binti wa miaka 25 sio news ila kijana wa miaka 25 kumuoa kikongwe cha miaka 74 ndio news.
 
Back
Top Bottom