TANZIA Waziri wa zamani, Dkt. Pius Yasebasi Ng'wandu afariki dunia

Mbunge wa zamani wa jimbo la Maswa pia aliwahi kuwa Waziri, Dkt Pius Ng'wandu amefariki dunia.

Amefariki Usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Somanda mjini Bariadi.

Alikimbizwa jana katika Hospitali hiyo baada ya kupata matatizo ya presha.

Mungu amlaze Mahali pema Peponi.

Dr. Pius Yasebasi Ng’wandu aliwahi kuwa balozi wa Japan Tokyo 1990 hadi 1993

Waziri wa Sayansi na Teknologia mwaka 2000 hadi 2008

View attachment 1653866
Balozi Pius Yasebasi Ng'wandu enzi za uhai wake
RIP Babu..
 
Nilitaka kuuliza ndie alieoa dogodogo juzi? . Asante Kwa maelezo Mambo mengine bwana roho inatamani lakini nguvu hamna.
IMG-20201219-WA0009.jpeg
 
Mbunge wa zamani wa jimbo la Maswa pia aliwahi kuwa Waziri, Dkt Pius Ng'wandu amefariki dunia.

Amefariki Usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Somanda mjini Bariadi.

Alikimbizwa jana katika Hospitali hiyo baada ya kupata matatizo ya presha.

Mungu amlaze Mahali pema Peponi.

Dr. Pius Yasebasi Ng’wandu aliwahi kuwa balozi wa Japan Tokyo 1990 hadi 1993

Waziri wa Sayansi na Teknologia mwaka 2000 hadi 2008

View attachment 1653866
Balozi Pius Yasebasi Ng'wandu enzi za uhai wake
Pole kwa familia msiba mkubwa na hasa kwa mjane aliyemwacha Mungu awe mfariji wake. Amen !
 
Mbunge wa zamani wa jimbo la Maswa pia aliwahi kuwa Waziri, Dkt Pius Ng'wandu amefariki dunia.

Amefariki Usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Somanda mjini Bariadi.

Alikimbizwa jana katika Hospitali hiyo baada ya kupata matatizo ya presha.

Mungu amlaze Mahali pema Peponi.

Dr. Pius Yasebasi Ng’wandu aliwahi kuwa balozi wa Japan Tokyo 1990 hadi 1993

Waziri wa Sayansi na Teknologia mwaka 2000 hadi 2008

View attachment 1653866
Balozi Pius Yasebasi Ng'wandu enzi za uhai wake
RIP Mbunge wangu wa zamani.Amina.
 
Back
Top Bottom