Waziri wa Viwanda na Biashara, Mwijage ndani ya dk. 45

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,993
3,684
Wadau,
Kama una wasaa basi tazama ITV,muda huu Waziri wa mambo ya viwanda Mh.Mwijage yuko na Sam Mahela.
Mada kuu ni juu ya TZ ya viwanda.
 
Vipindi vya kurekodi viongozi wanavipenda vile vya live wanakimbia utafikiri vina nyuki. Nawashauri waje hata live ili kama kuna swali au tunataka ufafanuzi juu ya jambo fulani wajaribu kulifafanua.
 
Back
Top Bottom