Waziri wa Viwanda Mwijage(CCM) aelezea yote kuhusu Sukari!

Daaaah Mh Waziri amelitolea hilo suala la sukari ufafanuzi mzuri sana. Dhamira ya Serikali ya Awamu ya Tano na Mh Rais ni Thabiti na yenye tija njema kwa kila Mtanzania bila kujali Itikadi ya Vyama vya Siasa. Tujiunge pamoja kuiunga mkono na kuipa ushirikiano Serikali yetu....Tanzania mpya inakuja.

Wahujumu Uchumi KAENI CHONJO tutachukua Leseni zetu. Ficheni sukari sasa mkione.
 
1. Eti wauza sox watauza Sukari baada ya kunyang'anya watu leseni nimecheke sana aisee,
2. Mahitaji ya nchi ni tani zaidi ya 500,000 tunachokizalisha tani 300,000 halafu tunapiga marufuku uingizaji sukari kutoka nje, je hiki si ndio kimesababisha kupanda kwa bei? kwani supply ni ndogo kuliko demand. hapo ndipo mkurupuko wa viongozi wetu ulivyo yaani unapiga marufuku kitu huku ukiwa haujapanga jinsi ya kutatua tatizo la upungufu wa sukari.
 
Wamekukomesha maana ulikuwa unafaidika na kuingiza sukari ukadhani utaendelea hivyo milele. Kubali tu na mabadiliko ndugu.
 
1. Eti wauza sox watauza Sukari baada ya kunyang'anya watu leseni nimecheke sana aisee,
2. Mahitaji ya nchi ni tani zaidi ya 500,000 tunachokizalisha tani 300,000 halafu tunapiga marufuku uingizaji sukari kutoka nje, je hiki si ndio kimesababisha kupanda kwa bei? kwani supply ni ndogo kuliko demand. hapo ndipo mkurupuko wa viongozi wetu ulivyo yaani unapiga marufuku kitu huku ukiwa haujapanga jinsi ya kutatua tatizo la upungufu wa sukari.
Inawezekana umeangalia hiyo clip lakini uwezo wako wa kuelewa ulikuwa mdogo. Mh Waziri amelitolea ufafanuzi hilo suala la upungufu wa uzalishaji...serikali imepanga utaratibu tofauti ambao utatumika kuagiza hizo tani pungufu...tofauti na ilivyokuwa awali kila muagizaji alikuwa anaamua anavyotaka kuhujumu Viwanda vya ndani. Na kuna wawekezezaji wametoka India tayari kuja kujenga Kiwanda cha kuzalisha Sukari hapa Tanzania. Sijui hayo mapovu unayotoa ni ya nini? Au ulikunywa chai na kipande cha mbunju au mbuni!?
 
Mahitaji ya nchi ni tani zaidi ya 500,000 tunachokizalisha tani 300,000 halafu tunapiga marufuku uingizaji

Watu wa takwimu nao ni jipu lingine la kutumbua.Hapo utakuta hao waagiza sukari waliwaendea watengeneza takwimu wakati wa kujenga hoja kuwa sukari iruhusiwe kuagizwa wakapika hizo takwimu kuonekane kuna upungufu.
Wakapika takwimu wakaenda wakasema ona kuna upungufu wa tani laki mbili tunapendekeza sukari iagizwe nje kufidia pengo!!!!!!!!

Kuna baadhi ya wasomi wetu ni JUST AGENTS OF IMPERIALISTS

Magufuli endelea kutumbua majipu usimtizame nyani usoni.
 
Watu wa takwimu nao ni jipu lingine la kutumbua.Hapo utakuta hao waagiza sukari waliwaendea watengeneza takwimu wakati wa kujenga hoja kuwa sukari iruhusiwe kuagizwa wakapika hizo takwimu kuonekane kuna upungufu.
akapika takwimu wakaenda wakasema ona kuna upungufu wa tani laki mbili tunapendekeza sukari iagizwe nje kufidia pengo!!!!!!!!

Kuna baadhi ya wasomi wetu ni JUST AGENTS OF IMPERIALISTS

Magufuli endelea kutumbua majipu usimtizame nyani usoni.
Una uhakika?? Umeongea kama ndo hivyo wafanyavyo??
 
1. Eti wauza sox watauza Sukari baada ya kunyang'anya watu leseni nimecheke sana aisee,
2. Mahitaji ya nchi ni tani zaidi ya 500,000 tunachokizalisha tani 300,000 halafu tunapiga marufuku uingizaji sukari kutoka nje, je hiki si ndio kimesababisha kupanda kwa bei? kwani supply ni ndogo kuliko demand. hapo ndipo mkurupuko wa viongozi wetu ulivyo yaani unapiga marufuku kitu huku ukiwa haujapanga jinsi ya kutatua tatizo la upungufu wa sukari.
Rudia kuangalia tena hiyo clip.. mambo yote yako sawa.. usiruke ruke
 
1. Eti wauza sox watauza Sukari baada ya kunyang'anya watu leseni nimecheke sana aisee,
2. Mahitaji ya nchi ni tani zaidi ya 500,000 tunachokizalisha tani 300,000 halafu tunapiga marufuku uingizaji sukari kutoka nje, je hiki si ndio kimesababisha kupanda kwa bei? kwani supply ni ndogo kuliko demand. hapo ndipo mkurupuko wa viongozi wetu ulivyo yaani unapiga marufuku kitu huku ukiwa haujapanga jinsi ya kutatua tatizo la upungufu wa sukari.
rudia kuingalia tena hiyo video nadhani hujamuelewa wazili vizur
 
1. Eti wauza sox watauza Sukari baada ya kunyang'anya watu leseni nimecheke sana aisee,
2. Mahitaji ya nchi ni tani zaidi ya 500,000 tunachokizalisha tani 300,000 halafu tunapiga marufuku uingizaji sukari kutoka nje, je hiki si ndio kimesababisha kupanda kwa bei? kwani supply ni ndogo kuliko demand. hapo ndipo mkurupuko wa viongozi wetu ulivyo yaani unapiga marufuku kitu huku ukiwa haujapanga jinsi ya kutatua tatizo la upungufu wa sukari.
Amesema vibari vitatoka kwa utaratibu maalumu au haukusikia vizuri mkuu.
 
Daaaah Mh Waziri amelitolea hilo suala la sukari ufafanuzi mzuri sana. Dhamira ya Serikali ya Awamu ya Tano na Mh Rais ni Thabiti na yenye tija njema kwa kila Mtanzania bila kujali Itikadi ya Vyama vya Siasa. Tujiunge pamoja kuiunga mkono na kuipa ushirikiano Serikali yetu....Tanzania mpya inakuja.

Wahujumu Uchumi KAENI CHONJO tutachukua Leseni zetu. Ficheni sukari sasa mkione.
maelezo yameenda shule kama yeye Dr. charles mwijage
 
Back
Top Bottom